RASMI: majina ya walimu ajira mpya April 2019

RASMI: majina ya walimu ajira mpya April 2019

Special education wameajiriwa wa masomo ya Arts shule za msingi na sekondari ila sio wote,pia wa masomo ya sayansi hawajaariwa wote in short walioajiriwa ni wachache sana ukilinganisha na walio kuwa wameomba, ila waziri mwenye zamana kasema ambao hawakubahatika awamu ya kwanza majina yao yamewekwa kwenye kanzidata ya tamisemi kwahiyo zikitokea fursa zingine za ajira wataajiriwa kwanza.
 
Miongoni mwa index namba za form 4 ktk list ya waajiliwa zinasoma mwaka 2016 na niwaajiliwa wa shahada sijui walirukaje hawa
 
wazazi na walezi tuna wakati mgumu,vijana wote hawa walikuwa bado wanakula na wadogo zao nyumbani.?
 
Back
Top Bottom