Karibuni Open university of Tanzania

Vijana karibuni muapply open chuo kizuri sana kwa watu wanaojua kujitafutia na kucheza na mda
Nakuunga mkono kabisa. Nimekuja kugundua na kujionea kumbe wakubwa wengi wa nchi hii wanasoma Open University kwa wanaoanza au walimaliza vyuo vingine nyuma na kutaka kujiendeleza mbele. Plus issue ya kutoa Foundation course ya mwaka mmoja tu inasaidia sana kwa wanafunzi waliomaliza secondary waliokata tamaa kuendelea na chuo kikuu kwa sababu ya matokeo yao.
 
Foundation mmechemka mara mwez wa 9 final mara mwez wa 5 hamueleweki.
Umechemka wewe ndugu yangu, vijana hamfuatilii utaratibu vizuri au kufikia watu sahihi wa taarifa kusuhu taaluma husika alafu nikwambie tu kijana kwa wanaochukua foundation pia hawako serious sana kujituma kusoma wanafeli wengi sana na kudrop out. Vijana wa leo tusome na kuwa serious maisha sio simple kama unavyoongelea ubovu wa system ya elimu hivyo!!
 
Nitajie masters mnazotoa hapo kwenu na ada zake
Ndugu wala usiwe na tabu sana tembelea website ya chuo www.out.ac.tz then utacheki kwenye kipengele cha "Academics" alafu utaingia "faculties" alafu utaona unachohitaji kuhusu masters degree yako, kwa maelezo zaidi kama upo Dar Es Salaam fika Kinondoni Biafra/Kanisani alafu utafika ofisi za Post Graduate kwa ufafanuzi wa bei na nk. Ila kwa ufahamu wangu kama unasomea science itakuwa juu kiasi kuliko mambo mengine tofauti.
 
Back
Top Bottom