Joseph mwakabelele
New Member
- May 11, 2019
- 4
- 4
Eti ukimaliza form six kipi bora kuenda jeshi au kuenda chuo kikuu?
Na kutokana na kazi za kuchafuka wanazozifanya, Elfu 50 kwa mwezi ni hela ya sabuni tuYani wewe unaona Jeshi limeshindwa kuwaajiri watu mpaka Rais awaagize na pengine wasiajiriwee unataka uendee huko...!!Posho unayoifikiria ni 50k kwa mwezii ambayo ni sawa na upuuzi tuu haikusaidiii chochoteee.. utaishia kula biskut na soda na vichips vya kambini
Yani kama Unaenda Jeshi na huna connection au hujui what will happen next bora ulale tu nyumbaniiiNa kutokana na kazi za kuchafuka wanazozifanya, Elfu 50 kwa mwezi ni hela ya sabuni tu
Dogo katudhalilisha sana tuliopata fursa ya kufanya Necta Form 6Yani wewe unaona Jeshi limeshindwa kuwaajiri watu mpaka Rais awaagize na pengine wasiajiriwee unataka uendee huko...!!Posho unayoifikiria ni 50k kwa mwezii ambayo ni sawa na upuuzi tuu haikusaidiii chochoteee.. utaishia kula biskut na soda na vichips vya kambini
Kuliko aende JKT bila connection, ni bora aje huku Arusha, uncle anamuhitaji shambanoy wa kukatia ng'ombe na nguruwe. Mshahara ni elfu 50.kula, kulala na kutibiwa ni BURE, karibuYani kama Unaenda Jeshi na huna connection au hujui what will happen next bora ulale tu nyumbaniii
Kwenda JKT ni kupoteza mudaaKuliko aende JKT bila connection, ni bora aje huku Arusha, uncle anamuhitaji shambanoy wa kukatia ng'ombe na nguruwe. Mshahara ni elfu 50.kula, kulala na kutibiwa ni BURE, karibu
Mdanganye tu mwenzioukimaliza F6 unaenda jkt miezi 3, hapo unaweza pata nafasi ya kujiunga na jeshi directly ,ukipata hyo shikilia kabisa usikimbilie chuo maana unaweza kusoma baadae usipate ajira.
Nenda Chuo kwanza,ukimaliza utaomba kwenda huko jeshini maana huwa kuna nafasi za Professional eg.Dr,Eng,Wahasibu,Wakaguzi,Walimu n.k.Kasome kwanza upate gamba huko jeshini utaenda ukiwa na Fani uliyoisomea,Vinginevyo utaenda kuteseka bure na form six leaver yakoEti ukimaliza form six kipi bora kuenda jeshi au kuenda chuo kikuu?
Jeshi unadhani unapeleka kobazi zako kirahisi hivyo. Unajkamulia tu...Eti ukimaliza form six kipi bora kuenda jeshi au kuenda chuo kikuu?
Umemjibu vizuri kijana...nakumbuka mimi mwenyewe nilifika mkoani nikakuta jina langu limewekwa upande wa vipaji maalum wakati mwenyewe sina kipaji nikamuuliza mshauri wa mgambo wetu akaniambia ukiulizwa sema nacheza mpira nikasema sawa japo hatukukubaliana awali aliniambia hivyo baada ya kusikia jina langu liko upande huo tukarudi majumbani kwetu tukatangaziwa siku ya vipimo kutoka jkt makao makuu(usaili ngazi ya Taifa) siku hiyo nilichoka sana jina langu halikuonekena mahali popote nilihangaika na mshauri wa mgambo wa wilaya yetu tulienda hadi kwa mshauri wa mgambo mkoani maana tulikuwa ngazi ya mkoa lakini niliambiwa jina langu halipo nilichoka sana wenzangu wote walifanikiwa kwenda huko jkt OP merarani niliumia sana ndo hivyo huko jeshini Rushwa ipo sana huyo kijana ajipange awezavyoNakushauri uende chuo ( kama ni mdogo wako mwambie aende chuo)
Nilifanya ujinga kama huu. Nikimaliza six nikagoma kwenda chuo nikidhani njia ya kwenda jeshi ni nyeupe!
Nilifanya interview wilayani nikapitishwa kwenda mkoani nilivofika nilashangaa sana kukuta jina langu limewekwa "reserve " ( reserve ni ziada, in case wengine wakipimwa wakakutwa na mapungufu ya kiafya basi watatolewa na nyie reserves mtajaza pengo).
Nillikosa nafasi ya Jkt nikajiku najilaumu kwanini sikuomba chuo wakati nilipata wafadhili.. Anyway.. mwaka uliofuata niliomba chuo na mkopo 100%juu but paka sasa najilaumu coz niliomaliZa nao six sasaiv wako mbele yangu kizembe tu.
Hata hivyo inaonyesha kuna jambo hulijui kuhusu jeshi:
Sio kwamba unaenda directly jwtz, ni kwamba ukibahatika kupata nafac ya JKT utakula kozi ya miezi 6 lakini mkataba wa kukaa JKT utasain wa miaka miwili, hivyo ulimaliza JKT utaendelea kufanya kazi mbalimbali( sio za kulipwa) humo kambini hadi miaka miwili iishe Ndio uruhuaiwe kufatilia nafasi za JWTZ au vyombo vingine vya ulinzi..l
Pia wakuu wanatabia ya kuwanyima wahitimu vyeti na kuwalazimisha kusain mkataba mpya wa kuendelea kukaa JKT na kuwapigisha kazi mbalimbali kama vile kung'oa visiki, kulima na ujenzi, jambo ambalo wengi wao huishia kutorokea uraiani bila kupewa vyeti na Kama unavyojua cheti ndio msingi wa ajira. Nina ndugu yangu yuko huko, huu ni mwaka Wa tano sasa wanaahidiwa tu kwamba waendelee na kazi watatafutiwa ajira jamba ambalo sio kweli.
Aidha wengi wa waliohitimu JKT hukosa nafac ya JWTZ kwa sababu za rushwa na kujuana. Hivyo huishia kujiunga na uaskari polisi au magereza ilimradi mkono uende kinywani
Sikukatishi tamaa ila kama hukulijua hili, jitafakari upya na uchukue uamuzi wa busara.
Samahani kwa uandishi wangu m'bovu
Kuliko aende JKT bila connection, ni bora aje huku Arusha, uncle anamuhitaji shambanoy wa kukatia ng'ombe na nguruwe. Mshahara ni elfu 50.kula, kulala na kutibiwa ni BURE, karibu