Binti wa kiiraq(mtoto wa kimbulu) kanishika msaada tafadhali

mkuu, kama umempenda kweli..
tulia ujipange ase..usifulie tu (sina maana wanapenda pesa ) ila uweze kumtuliza kweli kwei umpendae
 
Nimetokea kumpenda binti mmoja wa kiiraq kutoka manyara kule juu wanapaita bashnati kiukweli nimempenda so kama kuna mtu ana jua tabia zao na ishu nyinginezo anijuze kabla sijafanya maamuzi.
mie kabila la kibarbagi we acha tu karudi kwao nachanganyikiwa.........ila ni roho ya ''Paka' hawa kwa uvumilivu......
 
honestly speaking..! ni wavumilivu sana, wazur mnoooo! very innocent usoni! wakarimu sanaaaaa! but 97% hawajui neno HAPANA, so omba Mungu huyo wako awe kati ya 3% otherwise atakuigizia utapenda, nimeishi nao, rafik wa mume wangu kaoa hao, ninafanya nao kazi,

nakupa hongera coz unampenda, but hunijui ckujui wala sijui kabila lako, but plz plz plz kaa chin think AGAIN AGAIN n AGAIN..! angalia familia yake vzur original elements huwa always zipo..!
hebu tafakar sana, zaid mshirikishe na Mungu ili huyo wako amkomboe na hivo vifungo..!
 
Confirmed!! Sina maana ya kuwa mkabila ila tabia iliyojitokeza sana humu (kuwa na huruma kwenye suala la ngono) ni kweli kabisa!! Wanaonekana innocent sana na hata kujifanya ni wacha dini lakini hamna kitu kabisa. Wanaweza kukufanya uwapende na kuona wa maana kumbe wanayofanya nyuma ya pazia ni hatari kabisa
 
Nimetokea kumpenda binti mmoja wa kiiraq kutoka manyara kule juu wanapaita bashnati kiukweli nimempenda so kama kuna mtu ana jua tabia zao na ishu nyinginezo anijuze kabla sijafanya maamuzi.
ukishikwa, shikamana.
 
ki ufupi ni kwa wanyimi sasa kama huna wivu endelea ila kama una wivu basi sio wako huyo. kuna jamaa alenda huko week mbili tu karudi na msululu wa contacts zao akaniambia kila siku alikuwa namuaproach mmoja na anadoka naye!! Nuhu njoo tena uhubiri!!
 
Mmmh kumbe.....yupo jirani wa kiiraqw mzuri hatari, mpole kama sista vile sikujua kama behind the scene ni hivyo.....anyway wacha nikamlilie shida na mimi nijithibitishie maneno ya wadau......
 
Hao ni wazuri wa sura na wabaya wa tabia,usoni huonekana wapole ila roho zao huwa na maamuzi ya kijinga,maana hawana ujasiri wa kumkataa mwanaume akiomba game,, sasa wa nini hao,bora uoe waha toka kigoma ili ukabishane nao ndani
 
Mwanamke wakiiraq hata nikipewa bure na kuongezewa milioni tano bure sioi .ukio wale umeoa pressure ndani
 
Back
Top Bottom