Matthew 8:23-27
And, behold, there arose a great tempest in the sea, insomuch that the ship was covered with the waves: but he was asleep. And his disciples came to him, and awoke him, saying, Lord, save us: we perish.
1. Waislam ni Waungwana kuliko wakristo.
2. Tenda wema nenda zako.
3.Mwanamke hakuumbwa kuwa kiongozi.
4.Ukicheka Na Mbwa atakufata hadi chumbani
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
17 March 2017 - Makonda anavamia Clouds TV , tukio linalosababisha Nape aliyekuwa waziri wa Habari kufutwa kazi na Magufuli
17 March 2021 - Kifo Cha Magufuli kinatangazwa
????????
Mathayo 6:7
"Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.