Umepata funzo gani kwenye awamu ya Rais Samia?

Skudu makudubela

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2023
Posts
558
Reaction score
1,116
Habari ya asubuhi wanaJF

Naomba tu kuuliza nani mwingine amepata mafundisho kutoka kwenye hii awamu ya SSH

Binafsi nimejifunza kwamba binadamu na mitaa kwa ujumla daima haina shukrani.

Watafute wapinzani wote ambao mama aliwasaidia kwa namna moja au nyingine,sasa hivi wako wapi na wanafanya nini?

Nawasilisha
Wenu katika ujenzi wa taifa
Skudu manoka.
 
Kuwasaidia au ilikuwa wa jibu wake kutenda haki.
 
Habari ya asubuhi wanaJF

Naomba tu kuuliza nani mwingine amepata mafundisho kutoka kwenye hii awamu ya SSH

Binafsi nimejifunza kwamba binadamu na mitaa kwa ujumla daima haina shukrani.

Watafute wapinzani wote ambao mama aliwasaidia kwa namna moja au nyingine,sasa hivi wako wapi na wanafanya nini?

Nawasilisha
Wenu katika ujenzi wa taifa
Skudu manoka.
Kwahiyo Mtu akikusaidia halafu baadae ukagundua anachepuka na wife yaani anakuibia utamsamehe sio?.
 
Ujinga mwingi, uwezo mdogo wa wanawake kwenye nafasi za maamuzi magumu
 
Habari ya asubuhi wanaJF

Naomba tu kuuliza nani mwingine amepata mafundisho kutoka kwenye hii awamu ya SSH

Binafsi nimejifunza kwamba binadamu na mitaa kwa ujumla daima haina shukrani.

Watafute wapinzani wote ambao mama aliwasaidia kwa namna moja au nyingine,sasa hivi wako wapi na wanafanya nini?

Nawasilisha
Wenu katika ujenzi wa taifa
Skudu manoka.
rais dhaifu kuwahi kutokea duniani.
 
Kwahiyo Mtu akikusaidia halafu baadae ukagundua anachepuka na wife yaani anakuibia utamsamehe sio?.
Kuna namna sahihi ya kuzungumza na samia na sio kama hivi wanavyofanya sasa

Kiufupi ni wanamuharibia kwa wananchi moja kwa moja

Binadam hawajawai kuwa na shukrani

Samia alikwenda kumsabahi lissu akiwa amelazwa nairobi lakini.muone lissu anachofanya saivi

Ubinadamu kazi sana
 
Habari ya asubuhi wanaJF

Naomba tu kuuliza nani mwingine amepata mafundisho kutoka kwenye hii awamu ya SSH

Binafsi nimejifunza kwamba binadamu na mitaa kwa ujumla daima haina shukrani.

Watafute wapinzani wote ambao mama aliwasaidia kwa namna moja au nyingine,sasa hivi wako wapi na wanafanya nini?

Nawasilisha
Wenu katika ujenzi wa taifa
Skudu manoka.
Skudu, nililojifunza ni kwamba ukiwa Rais wa nchi ukawa na uelewa mdogo na ukakosa Nia ya kuwatumikia watu. Mifumo yote inakuwa corrupt na kuko collapse pengine.
 
Back
Top Bottom