Forgive your wife andd God will bless your life. Hakuna mwanadamu asiyetenda kosa na la msingi angalia wapi ulikuwa humtendei haki rekebisha na kubwa sana umridhishe mkeo.
Follow your heart. maana umeshasema huwezi ishi bila yeye so chukua hatua ya kusamehe naamini hata yeye atakuwa amejifunza kitu na kama kuna mahali ulikuwa humtendei haki akatoka rekebisha. Mungu atawasimamia maana mara zote anapenda mapatano. Kusamehe hakuna ukomo na haijalishi aina ya kosa...
Ushauri wa bure;
Jitahidini kuwa na subira, hapo mnataka kutengeneza sababu ya kwamba mnaonewa maana kama mmeambiwa masuala yote yanashughulikiwa mnatafuta nini hapo kama sio kutengeneza issue. Je na wakristu wakiamua kuandamana kwa yale mlofanya kitaeleweka kitu hapo kweli? si itakuwa nchi ya...
He is just suffering from narrow mindedness, maana angekuwa na upeo wa kutosha asingethbutu kusema hayo na hawezi kuona umuhimu wa walimu kama hakwenda shule he is just empty headed
Yaani kama kuna mahali watanzania tunatakiwa kusema yatosha ni pamoja na hili jambo. Wamelipitisha kinyemela bila kutushirikisha walijua halikubaliki. Nimemsikiliza mkurugenzi na huyo asifa uhusiano wakizungumza clouds hawana jipya wanayoyazungumza hakuna asiyeyajua na ni politics tu za...
mnaoshabikia uamuzi wa serikali tumieni akili na muwe mna analytical mind hivi unadhani hata wakiamua kurudi kazini hawajaridhika wakawapa dawa zisizofaa mtakuwa mmetatua nini. Cha msingi wakae mezani wakubaliane hata kama hawawezi kutoa kuwango hicho kwana hao madaktari ni nunda kiasi cha kutoelewa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.