washaona yatawatokea ya Misri jinsi fb na twiter zilivyosaidia kumtoa Mubarak.. Wameona vijana wanapashana habari juu ya maovu ya vigogo wa kijani. Washajua muda si mrefu kitanuka.
na kwa nini shughuli zngne zisitishwe. Si angekuja kimya kimya mpaka ikulu akakutana na huyo papeti wake kuliko kusumbua na kudharirisha wengne kazini kwao?! Think big bro.
Kutawaliwa tunazaliwa nao akilini, ndo maana yote haya yanatokea. Tulishaona hatuwezitoa sauti kwa lile tulitakalo na tusilolitaka ikasikika. Tumebakia kupangiwa kila kitu na wageni. Obama akija akasema Tanzania ni koloni la marekani hakuna wa kubishi, kwa sababu jeshi lake tayari linaendesha...
Hilo liko wazi siku zote. Mara ngapi wanapotosha habari za ukweli! Kumbuka mgomo wa wanavyuo dhidi ya HESLB, Clouds FM kupitia kipindi cha jahazi walitoa habari za kupotosha na kuwahukumu moja kwa moja wanafunzi kuwa na makosa. Kikubwa ni kupokea habari na kuichuja kuona ukweli uko wapi. Siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.