Recent content by ishalua

  1. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukabila ndio umembeba Kenyatta, si sera!

    Hii nimeikuta BBC... The US and other Western allies of Kenya have warned of possible "consequences" if Mr Kenyatta wins.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Kijarida cha ::"Kumekucha":: Serikali yajitahidi Kuokoa Mkataba wa UDA

    Mwanakijiji, Asante kwa jitihada zako za kijarida cha Kumekucha! This is yet another big step! Aluta Continua!! Nina ombi moja tu, naomba uhariri uzingatie aina ya font (font face) angalau kuwe na uniformity...Juzuu hii ya Toleo hili la kwanza, umeweka fonts za aina kadhaa....
  3. I

    JamiiForums Tanzania CDM wafuateni wapiga kura huku...

    Kwa mujibu wa Sensa ya Mwaka 2002, ramani hii inaonyesha vijiji/mitaa iliyosajiliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu. Sasa hapa ni kuwa strategic! Mmeanza vizuri na target areas za Kanda ya Ziwa!! Maeneo mengine ya kwenda ni kama yanavyoonekana kwenye ramani. Kwenu CHADEMA strategists. Mpaka kieleweke!
  4. I

    JamiiForums Tanzania Lost mandate to govern: Cameron to Labour; CDM to CCM

    Wakati Waziri Mkuu wa Uingereza wakati akifanya kampeni za uchaguzi wa Uingereza uliopita (mwaka jana) na hata siku ya matokeo ya awali ya ubunge yalipotoka, alisema (na alikuwa akisema kwa kurudiarudia) kuwa serikali ya Labour imekosa uhalali wa kuongoza nchi...Hii ni kutokana na mambo mengi...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Austerity measures in the West Vs JK's big govt

    Nakubaliana na kwamba uongozi wetu huwa hautafakari kabisa juu ya ukubwa wa serikali na athari zake katika matumizi ya pesa za walipa kodi (ambao ni wachache mno!). Sasa hili suala la kupanua wigo wa kodi angalau basi mfuko wa serikali uzidi kuongezeka kila mwaka na idadi ya watanzania...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Austerity measures in the West Vs JK's big govt

    Wana JF, Wakati serikali za wenzetu wa Magharibi zikichukua hatua ngumu za ki-state ili kurekebisha mgogoro uliopo na utakaokuja wa hali mbaya ya kiuchumi, sisi ni kama hatutumii mwanya huu kujifunza kutoka kwao. Serikali za Uyunani, Uspanyola, Uingereza, Ufaransa na kwingineko wameanza...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

    MMM, Wenzetu wazungu wana utamaduni mzuri sana. Mtu mmoja akifanya jambo lenye heshima ya kitaifa atawekwa kwenye kumbukumbu iwe ya kwenye nyaraka za kitaifa (kama shujaa), nishani, medali, sanamu yake au hata monument inapobidi, etc. Kwetu sisi, hata kama niliifanyia nchi yangu makubwa...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Low Cost Housing Options

    do we have such people/company in tanzania who can supply and do this type of building materials?
  9. I

    JamiiForums Tanzania GE2010 Live From TV's: Upigaji wa kura, matokeo na yatokanayo

    Jamani tutafutieni matokeo ya Bagamoyo kwa Shukuru Kawambwa walikotumia mil 700 kujengea matundu 4 ya choo, hali ikoje huko???
  10. I

    JamiiForums Tanzania GE2010 JF Exclusive: Election 2010 Results (General)

    Jamani tutafutieni matokeo ya Bagamoyo kwa Shukuru Kawambwa walikotumia milioni 700 kwa matundu 4 ya choo, hali ikoje huko????
Back
Top Bottom