kotinkarwak
JF-Expert Member
- Aug 5, 2010
- 376
- 112
Naelekeza mahojiano yaliyotangulia kuhusu "gharama za ujenzi Tanzania" na kuanzisha thread hii ambayo nia yake ni kuleta technologies mbali mbali zinazotumika ulimwenguni katika ujenzi ulio nafuu (Kumbuka nafuu is relative in this case).
site: www.locrete.com
Location: Kuwait
Trial Sites: Djibouti/South Africa
video: ABOUT LOCRETE on Vimeo
Pointers: Mimi nimefurahishwa na urahisi wa ujenzi, 60 meter squared in 25 days.
site: www.locrete.com
Location: Kuwait
Trial Sites: Djibouti/South Africa
video: ABOUT LOCRETE on Vimeo
Pointers: Mimi nimefurahishwa na urahisi wa ujenzi, 60 meter squared in 25 days.