Recent content by ISENUKA

  1. I

    BOXER BM 150 INAHITAJIKA.

    Natafuta pikipiki aina ya BOXER BM 150 iliyotumika muda mfupi na iwe haijaguswa injini kwa bei ya MILION MOJA. 1M. nitafute kwa 0686958013.
  2. I

    NATAFUTA BATI ZA RANGI

    wadau yeyote mwenye bati ya rangi anitext kwa 0686958013 maeneo ya dar es salaam, na KIBAHA, nahitaji kuanzia PC 90
  3. I

    NYUMBA YA VYUMBA NANE INAUZWA!

    Nyumba ipo kibaha picha ndege, inavyumba nane double mbili na single nne, na uwanja kidogo upo, ila bado haijapauliwa, msingi umemiminwa na imepigwa pia renta kwa kumiminwa kisha ikamaliziwa kozi mbili za juu, mwenye nyumba kaijenga muundo wa kupangisha, bei 25M ila maongezi yapo. jirani na...
  4. I

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    kichwa cha Habari chajieleza, Nimejichanga Sana nimefanikiwa kupata 3M, biashara ninayoipenda Siku zote ni kusafirisha ndizi kutoka Mbeya na kupeleka Dar, hili jambo nilikuwa naliwaza Sana tokea miaka mingi iliyopita. naomba kwa wale wanaoijuwa Vizuri hii biashara wanipe mwanga na ufafanuzi kwa...
  5. I

    Bati za rangi zinahitajika

    nahitaji bati za rangi geji 30.Rangi yeyote pcs 90, kwa wale wa maeneo ya Dar, pwani ,moro, na arusha. nipigie kwa 0686958013
  6. I

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni mwalimu idara ya sekondari, natafuta MTU wa kubadilishana Kituo cha kazi. Aje arusha mjini mi niende mbeya mji, tukuyu,kibaha ,bagamoyo, dar wilaya yeyote. mawasiliano no 0686958013
  7. I

    Ni wapi naweza kujua Kiingereza cha kuongea?

    Wadau ctanii nipo seriously nahitaji msaada
  8. I

    Natafuta King'amuzi cha Startimes Arusha

    natafuta king'amuzi cha startimes au azam kwa wale wa arusha mjini 0686958013
  9. I

    Ni wapi naweza kujua Kiingereza cha kuongea?

    wadau ninaomba msaada kuelekezwa sehemu sahihi nitakayojifunza kiingereza chakuongea tuu, ndani ya mwezi mmoja niwenaongea vizuri kiingereza bila shida, yawe ni maeneo ya ARUSHA MJINI
  10. I

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo babati; nije Iringa mjini
  11. I

    Miti aina ya mipyina inauzwa

    vipi bado mzigo upo?
  12. I

    Tunatafuta mwalimu wa physics

    Mwalimu wa physics anahitajika, awe kamaliza diploma anasubiria ajira, tuwasiliane kwa 0686958013
  13. I

    Unatafuta nafasi ya masomo Australia?

    Mkuu ada kwa miaka yote miwili ya masters ya p/admin,itagharimu kama sh ngapi? Cm yang haina uwezo wa kudownld
  14. I

    Unatafuta nafasi ya masomo Australia?

    Mkuu mfano nataka nikachukue masters ya public administration, gpa ya 2.6,inakubalika?
Back
Top Bottom