Nyumba ipo kibaha picha ndege, inavyumba nane double mbili na single nne, na uwanja kidogo upo, ila bado haijapauliwa, msingi umemiminwa na imepigwa pia renta kwa kumiminwa kisha ikamaliziwa kozi mbili za juu, mwenye nyumba kaijenga muundo wa kupangisha, bei 25M ila maongezi yapo. jirani na stand na barabara hadi uwanjani. 0686958013
picha nipe namba yako nitakutumia whatsap
picha nipe namba yako nitakutumia whatsap