Ni wapi naweza kujua Kiingereza cha kuongea?

Ni wapi naweza kujua Kiingereza cha kuongea?

Ok,your wants to speaking english language well like me?,call I,I can taught you english good, for two moons you will able to spoke well english like man from to USA.In box me please.
If you can not write correctly how you can speak correctly?
You need more English or you can speak Ibo.
 
Ok,your wants to speaking english language well like me?,call I,I can taught you english good, for two moons you will able to spoke well english like man from to USA.In box me please.
We mwenyewe majanga matupu
 
wadau ninaomba msaada kuelekezwa sehemu sahihi nitakayojifunza kiingereza chakuongea tuu, ndani ya mwezi mmoja niwenaongea vizuri kiingereza bila shida, yawe ni maeneo ya ARUSHA MJINI
Ukiwa pale Stand ya Mabasi,Kuna jengo linaitwa Namvua Plaza, panda hapo had floor ya tano, kuna Mwalimu mmoja pale yupo vyema sana..bila shaka atakua msaada kwako.
 
okonkwo jr upo deep sema wadau hawajakustukia tu
asiyejua hawezi kupangilia hivyo
 
Kama ni nia nzuri kweli anayo. Tatizo ndo bado hicho kiingereza kwake hakijakaa sawa pia
hujamwelewa. jamaa yupo vyema sana kaamua tu kuandika hivyo. nakuhakikishia asiye jua kizungu hawezi kupangilia maneno hivyo tena anaonekana yupo fluent katk kuongea... coz kuna maneno hapo yanaoneshha hivyo
 
Mr Q Seriously mi nakwambia. Kuna thread moja jukwaa la lugha. Kaangalie na kule uniambie kama anatania
 
Ok,your wants to speaking english language well like me?,call I,I can taught you english good, for two moons you will able to spoke well english like man from to USA.In box me please.
utakua wewe ni mhindi nini,?....
 
Back
Top Bottom