Mwanangu anataka kufanya aircraft engineering, amemaliza form four hataki kwenda A level. Vipi mnaweza niunganisha na chuo kizuri akaanza na ngazi ya certificate/diploma ya course hiyo?
Mkuu mfano nataka nikachukue masters ya public administration, gpa ya 2.6,inakubalika?
mkuu vp kwazile kozi za diploma kupitia tasisi za TAFE kwenye fani za
Entry requirements zake zinaendaje/zinakuaje? Pl saidia!
- uhandisi madini kwa jumla kama : petroleum, natural gas, gold, nickel, etc
- management of/economy of natural resources
Mwanangu anataka kufanya aircraft engineering, amemaliza form four hataki kwenda A level. Vipi mnaweza niunganisha na chuo kizuri akaanza na ngazi ya certificate/diploma ya course hiyo?
Mkuu, mambo ya GPA yanakuwa kigezo kikubwa kwenye ushindani wakati wa kuomba ufadhili (scholarship). Kwa maana ya kwamba aliyefaulu sana ndiye ananafasi ya kupata ufadhili sababu scholarship moja inaombwa na watu wengi. Lakini, kama mtu anampango wa kujilipia karo udahili (admission) unapata bila shida yoyote. Angalizo, kuna scholarship nyingine wanaangalia uzoefu wako kazini, nafasi za uongozi ulizopitia na mambo mengine mengi, cha msingi ni kutokuwa mvivu wa kupitia mitandao inayotoa scholarships na kutokata tamaa kirahisi.
Nakushauri upitie hizi scholarship opportunities za Australia -zitafunguliwa mwezi ujao. Masters Awards | Australia Awards
Kila la heri mkuu
Gpa not a big deal, kuna jamaa kibao wamepata na wana G/man
Mkuu ada kwa miaka yote miwili ya masters ya p/admin,itagharimu kama sh ngapi? Cm yang haina uwezo wa kudownld
Mwanangu anataka kufanya aircraft engineering, amemaliza form four hataki kwenda A level. Vipi mnaweza niunganisha na chuo kizuri akaanza na ngazi ya certificate/diploma ya course hiyo?
mkuu vp kwazile kozi za diploma kupitia tasisi za TAFE kwenye fani za
Entry requirements zake zinaendaje/zinakuaje? Pl saidia!
- uhandisi madini kwa jumla kama : petroleum, natural gas, gold, nickel, etc
- management of/economy of natural resources
Mkuu, TAFE wana engineering courses katika mining lakini mainly ni Open-cut na Underground mining. TAFE hawana courses za Petroleum drilling.
The minimum entry requirements are successful completion of secondary school (O-level). The student will need to have IELTS score of 6 across the 4 bands (speaking, listening, reading and Writing). This exam can be done at the British Council in Dar es Salaam. Please make sure that the student does the ACADEMIC and not the GENERAL option.
Students have an option to do extra English classes in Australia if the proficiency level is not met. For example where a student scores a 4.5 or 5 and the required score is 6, then they can do extra language courses in Australia before they start their program.
Once the student has the IELTS results or has a date booked, we will then start the application process. There is a need for the student to have access to adequate funds. This is usually a 3 months Genuine Savings from an acceptable source. Acceptable source include; Full government scholarship, Family, Not-for- Profit organization or a relative such as the uncle who is not living in Tanzania. Once an offer has been issued, the student will need to pay a percentage of tuition fees (one semester fee) to be issued with an electronic confirmation which is required for the student visa application.
Kila heri mkuu
IBSCS

Asante sana mkuu, kwa kuongezea tu, Je hakuna vyuo vingine vinavyotoa kozi kwa ngazi ya cheti au diploma kwa upande wa mambo yoyote yale yahusuyo Petroleum, Oil and Natural gas, iwe ktk uhandisi, au uchumi? Pl tafadhari saidia!