Recent content by isaya songa

  1. I

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi waliopokea matokeo ya kidato cha nne 2018

    Njooni mbozi mtafute shule zitawapokea wenye matatizo kama hayo
  2. I

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka anatafuta shule kwa matokeo haya

    Njoooo mbozi
  3. I

    JamiiForums Tanzania Walimu wa ajira mpya: Tupeni taarifa kuhusu malipo ya pesa za kujikimu ktk halmashauri zenu

    Walimu tuwe wapole jambo nzuri harihitaji haraka
  4. I

    JamiiForums Tanzania Lecturers' Corner - Ushauri, Changamoto & Mengineyo

    Udwanzi mtupu tuu hapa munalinga kaa nn hamujui kwamba hapa tunapita sio wengine wanaojiita lecture
  5. I

    JamiiForums Tanzania Clinical officer vs general agriculture

    Cha musingi frusa mm naona general iko vinzuri kwa kujiari haina haja kupangiwa kuingia kazn haina sheria ya kazi. Ni we we mwenyewe tuu unavyobehave ansaante
  6. I

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku watu ambao siyo 'Professional Teachers' kufundisha Private Schools

    Uarimu ni kipaji cha kuderiver material xioo chetiii ukitaka kuchunguza angaria xhure NYINGI za binafusi wanafunzi ndoo waajiri xo utakuta Mwarimu ambaye professional wanafunzi wanamukata kwamba haereweki. Co yure ambaye hana professional utakuta wa na mwita jembe and owners of private...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Hivi mikopo ndo basi tena au tuendelee kusubir

    Daaaa mwenyewe nimekosa medicine majanga
  8. I

    JamiiForums Tanzania Heslb yatoa siku 90 waliokosa mikopo kukata rufaa

    Umeona hiiii kariii maskn tuwahi mvua tusikosa vyote
  9. I

    JamiiForums Tanzania Heslb yatoa siku 90 waliokosa mikopo kukata rufaa

    Nimeamini mutegemea cha ndugu hufaa maskini ambao hatuna uwezo tuende tuu kitaani !!!! Kweriii siku 90 sikutufukuza kinamuna kweri. Yaaani MTU huna pesa ya ada harafu upo chuoni unambiwa ukate rufaaa wakati chuo wanataka ada yao
  10. I

    JamiiForums Tanzania Nimemsikitikia sana huyu kijana kwa kukosa mkopo

    Laaaa maskini sijui tunafanya nn laaa hakuna jipya sasa kinachotakiwa kujenga urafiki na mutaani
  11. I

    JamiiForums Tanzania Tunashukuru raisi

    Haaa haaaa hakuna jinsi hakuna cha yatima warema fani za kipaumbere wote wamekosa wadau kilicho baki tutafute njia mubadara
  12. I

    JamiiForums Tanzania Kusoma tena basi..

    Laaaàa ebwana weee imefika mahari lasaba amekuwa na PhD kimaisha zaidi ya aliye chuo kuchukua degree
  13. I

    JamiiForums Tanzania Hili linaukweli au ni porojo tu

    Projo tuuuuu
Back
Top Bottom