trigeminal
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,917
- 2,192
Mhadhiri wa VETA
Ushawahi kujiuliza mchango wa mwl wa veta kwa Taifa? Kwa taarifa yako anaweza kuwa na mchango mkubwa kuliko wewe unayembeza.Mhadhiri wa VETA
Ukisema mwandiko unakuwa too general, nadhani una maanisha uandishi. Hata hivyo yapo mambo ya kuzingatia;Duuuuuu kama wewe ni lecture mi nachoma magamba yangu yote
Hamna lecture mwenye mwandiko km wewe, labda lecture wa saut songea
Sio wote wanaolinga. Wengine wapo na 'open heart' kusaidia maendeleo ya mwanafunzi awapo chuoni.Udwanzi mtupu tuu hapa munalinga kaa nn hamujui kwamba hapa tunapita sio wengine wanaojiita lecture
Unachosema ni kweli japo sio mara zote. Muda mwingine ni stress zinasumbua so mtu anakuwa mkali muda wote.Baadhi ya Wahadhiri hua wanafanya vitu kwa makusudi ili wapate favor za kimapenzi kutoka kwa wadada, anaweza akaingia darasani anakua mkali kwa msichana hadi unashangaa huyu bwana huu ukali wote wa kazi gani?
Kuna mmoja somo lake nilikua naliona siyo gumu lakini alama alizokua ananipa nikawa sizielewi, nikaja kujua kumbe ukaribu wangu na binti fulani umechangia, na kuna mwenzangu siku anafanya presentation ilikua kama ana vita pale mbele na yule bwana.
Chifu ukali wa stress upo lakini wa huyu ndugu ulikua ni kuona watu wako karibu na binti. Alikua selective sana wa nani amkasirikie na nani asimfanyie hivyo.Unachosema ni kweli japo sio mara zote. Muda mwingine ni stress zinasumbua so mtu anakuwa mkali muda wote.
Ulitaka kumaanisha LECTURER!!!!!????Duuuuuu kama wewe ni lecture mi nachoma magamba yangu yote
Hamna lecture mwenye mwandiko km wewe, labda lecture wa saut songea