Clinical officer vs general agriculture

Clinical officer vs general agriculture

Kujiajiri kwa maana ya kufanya mambo kisasa maana wengi waliopo hulima kimazoea na masoko yao huishia mikoa ya karibu na kuuza hata nchi za jirani ni ngumu ila ugumu huo ni kwasababu hawafanyi kisasa.

Sasa mtu akisoma agriculture si anaweza asifananishwe na hao wakulima wa kawaida cuz yeye anajisimamia mwenyewe kwa maana ya kujiajiri kitaalam?

UKO SAHIHI....ILA HAWATAKUELEWA NDUGU......WATU SIKU HIZI WANAWAZA KUAJIRIWA TU.....MTU KILIMO ANAONA KAMA SIO KAZI YA KUMFANYA ATOKE....ILA MIMI NAAMINI KAMA UMESOMEA FANI FULANI UNAKUWA NA UELEWA MPANA ZAIDI JUU YA FANI HUSIKA...HATA S.U.A SIDHANI KAMA WANAFUNDISHA TU KUPANDA MBEGU NA KUVUNA MIAKA MITATU...............NI LAZIMA UTOKE NA TAALUMA IMEJITOSHELEZA TOFAUTI NA MTU AMBAYE ANAFANYA KILIMO KWA MAZOEA.....

TUSIDANGANYANE FANI ZA MEDICAL NI NZURI KWELI SKATAI NA HATA DEMAND BADO NI KUBWA NA HELA YA KUBADLISHA MBOGA UNAPATA............SHIDA NI

1)UNAKUWA LIMITED NA MUDA WA MWAJIRI

2)PIA IKUMBUKWE UGANGA NI WITO USITEGEMEE UKAWA NA HEKAHEKA ZA UJASIRIAMALI HUKU WAGONJWA/MWAJIRI ANAKUHITAJ

3)UTAKUWA NA JINA/MAARUFU LA DR.FULAN LAKINI KUMBUKA UMAARUFU BILA PESA NI MATESO MATOKEO YAKE UTAANZA KUISHI MAISHA YA KUIGIZA

4)UTAJIRI UPO KWENYE ARDHI.......SASA WEWE FIKIRIA MKULIMA AMBAYE HAJASOMEA ANATOKA WEWE ULIYESOMEA SI UTAFANYA VIZURI ZAIDI?

‘‘KILIMO PIA NI SAYANSI"

SIO KILA MTU ANAWEZA HUWEZ KULINGANISHA MKULIMA WA KAWAIDA NA ALIYESOMEA
.
 
Cha musingi frusa mm naona general iko vinzuri kwa kujiari haina haja kupangiwa kuingia kazn haina sheria ya kazi. Ni we we mwenyewe tuu unavyobehave ansaante
 
Na sisitiza soma CO kama una qualification!! I have my fellow graduants in Animal health, General Agriculture and Animal production ,,,hating their career and choice usipoajiliwa serikalini ni shi tu na hautaruhusiwa kupima nyama kwenye machinjio ya serikali!!! Uombe upate kazi ktk makampuni ya nje yanayijihusisha na kilimo/ufugaji!
Sasa hapo ukifanya kazi kwenye mashirika means bado hujajiajiri
 
Huo ndio ukweli, Kozi za Agriculture sio rahisi kujiajiri na hata kuajiriwa kwa kipindi hiki, na hata mshahara wake serikalini ni mdogo sana ukilinganisha na Afya.
Tuwe wa kweli hapa ili kuwasaidia wengine.

Narudia tena, haihitaji kwenda kusomea kozi ya Agriculture ili ujiajiri kwenye Kilimo. Mtu yoyote yule anaweza kuwa mkulima hata kama hukusoma kabisa.
Sawa mtu yeyote anaweza kuwa mkulima hata kama hajaenda Shule ya kilimo

Lakini unadhani ufanisi wao wa kazi utafanana??

Maana wengi hulima kwa mazoea na kilimo kidogo sana,

Hudhani Shule ya kilimo itamfanya mtu alime kisasa na hata kuweza kufanya exportation ya kutosha nchi jirani na hata nje ya Afrika kutokana na ubora wa mazao anaozalisha?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom