Recent content by isanzu ng'wamzai

  1. I

    JamiiForums Tanzania Wanaopenda kujua kuhusu Kujiunga na JWTZ na Vikosi Vingine vya Usalama

    Tayari walishapita kambi za jkt wamechukua vyeti vya watu waliofanya usaili. Professional hawajatuchukua tuliwauliza wakasema watarudi kufanya usaili kwa professional. Mnavyoumia vichwa mtaani hata huku jkt tunaumia hivyohivyo, sema tu huku kazi uhakika maana hakuna kurudi nyumban hata mkataba...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Usaili Jeshi la Polisi ni lini?

    polisi wamepigwa stop kuchukua watu ambao hawajapitia jkt. Ametuambia mkuu wa jkt juz tar 10 akitokea mtabila 824 kj. Nawashauri wanaotaka kuingia sector ya ulinzi waje jkt then wataliunga. Pia achen uoga jeshi la sasa halina mambo ya kizamani labda ukitinyanga ndo utazawadiwa dril na kazi za...
  3. I

    JamiiForums Tanzania TBC rekebisheni hili

    Pia TBC Taifa rusheni vipindi vya bunge asubuhi na jioni. Sio kama sasa mnarusha asubuhi tu.
  4. I

    JamiiForums Tanzania EATV kwanini mnawaonesha Mashoga kwenye kituo chenu?

    kipindi cha NIVAN na vipindi kama hicho katika channel zingine hapa Tanzania zinawapa promo kupitia shoo zao za kutembea,,, asilimia kubwa ya wale wanaojiita modo wa kiume ni mash.ga. Astakhafir
  5. I

    JamiiForums Tanzania Zembwela katika Super mix

    hivi zembwela jina lake halisi ni nani? napenda kipindi chake ila huwa sikisikilizi
  6. I

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: BUNGE Maalum la Katiba - TBC LIVE - Feb 18, 2014

    hivi hisa za TBC ziliuzwa lini? Huyo aliyezinunua anatukomoa kweli
  7. I

    JamiiForums Tanzania Kituo gani kinarusha mkutano wa kwanza wa bunge la katiba.?

    nimeona tangazo TBC1 watarusha saa 9 alasiri
  8. I

    JamiiForums Tanzania Ajira Idara ya Uhamiaji Tanzania...

    uhamiaji waliacha kuchukua professionals kwasababu walikuwa wanakimbia mazoezi. Sasa wanachukua jkt but really,, kwa ushauri omba kwa chet cha form four au six kama unacho. Ukishamaliza kozi ccp ndio unaweza kurelease chet chako cha bachelor degree. Wengi wamefanikiwa mwaka jana kwa njia hiyo...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Gazeti la JAMHURI limenunuliwa nakala zote ili lisionekane mtaani leo

    Manyerere kama unalijua hilo, naomba uweke softcopy hapa. Uongozi wetu na hatima ya TANZANIA.
  10. I

    JamiiForums Tanzania CCM haiyumbishwi kwa maneno ya uzushi na kutunga, Kinana yupo yupo sana

    hii mbona ni ya kule jukwaa la MMU?
  11. I

    JamiiForums Tanzania Mbunge Joseph Mbilinyi Sugu mara moja moja acha "UTOTO"

    "wapigwe tu" Cc: CTU
  12. I

    JamiiForums Tanzania Tbs

    wameandika kuwa wataanza na usaili wa kuandika
  13. I

    JamiiForums Tanzania Tbs

    inategemea na mwandaaji wa interview, mara nyingi wanaanza ya kuongea ili kupunguza wasiojua kiingereza na wasio na confidence. Kwa kuwa inspection technician inafanywa na mtu mwenye professional yoyote, kuwa na idea tu ya nini maana ya inspection na majukumu ya tbs na ya inspection technician...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Samadu Hassan Maduhu

    sijawahi kumsikia mtangazaji ndani na nje ya nchi mwenye mbwembwe na umahiri wa hali ya juu kama Samadu Hassan. Ningekuwa na tuzo ningempa aisee. Halafu anajua kiswahili kuliko BAKITA
  15. I

    JamiiForums Tanzania Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    mkono kaamua kumuunga mkono lisu
Back
Top Bottom