EATV kwanini mnawaonesha Mashoga kwenye kituo chenu?

EATV kwanini mnawaonesha Mashoga kwenye kituo chenu?

Hivi mwanaume kuvaa nguo za kike na kuigiza mwanamke huyo si shoga...inaamahana hakuna wanawake kwenye hizo nafasi..angalia vipindi vyote vya comedy..wito kama wewe shoga don't brag abt it live yo life na usitake kushawishi other people that they are gay..gay or not live your life..mtazamo
 
kipindi cha NIVAN na vipindi kama hicho katika channel zingine hapa Tanzania zinawapa promo kupitia shoo zao za kutembea,,, asilimia kubwa ya wale wanaojiita modo wa kiume ni mash.ga. Astakhafir
 
mashoga na wasagaji wamekua kama wameruhusiwa vile....wanatokea kwenye tv mara filam za kibongo...ni upuuzi tu huo....mfano kipindi cha nirvana cha eatv kna jamaa yule choko fulani hata akiongea kama choko
 
Jana usiku kama sa 3 hivi niliona EATV wakirusha kipndi cha msanii wa filamu.Katika kipindi hicho alionekana punga ambaye amejitangaza kabisa anaitwa Aunt Bilali kama sikosei,akiwa amebinua mkiuno wake.Hawa watu wanaharibu maadili,why muwape airtime?

Deo, vituo vingi vya tv na radio wanacho jali sasa ni kupiga noti tu hakuna cha maadili.
 
Back
Top Bottom