Recent content by Isaac mpoma

  1. I

    Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

    We mleta maada unaonekana huna akili pia unawivu wa kupitiliza, ndo nyie mnafanya njama za kuwaibia majiran zenu
  2. I

    Sijui namkwepa vipi binti huyu! Mimi nilikuwa natoa ugumu tu, yeye amekufa ameoza kwangu

    Bora utafte demu mwingine kagundua kuwa ww sio mwaminifu ili kakupozee kenyewe, ukikaambia hukapendi kataumia sana.
  3. I

    GE2020 Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

    Kwa hali ilivyo sasa Tanzania akigombea yoyote upinzani anapita tu, maana watu walisha ichoka serikali ya ccm hasa wanafunzi wa vyuo vikuu na wafanyakazi waajiliwa( waalimu,wauguzi,na madaktari), tatzo ni kuwa hata akishinda hawezi kupewa nchi. Democracy ya kweli ipo mbingun tu. Sent using...
  4. I

    Naijutia kura yangu niliyowapa UKAWA kwa jiji la DSM

    Ccm yenyewe imefanya nn mkuu? Kupanda kwa bei ya vitu ndo maendeleo au? Tunanunua unga wa sembe 38000 badala ya 20000 huoni au? Viwanda na zile million 50 za kila kijiji ziko wapi? Kwanza hukuwapa ukawa kura yako ww, ni mamluki tu, Kila mtu anaichukia serikari iliyopo ww unalaumu ukawa ambayo...
  5. I

    Kiuhalisia Mbowe kakosea sana kutoripoti Polisi

    Makonda anamuuta mbowe police kama nani? Kuna ulazma gani wa kumuita kwa dharau vile na wakati hana uhakika? Unajaribuje kumfananisha mbowe na gwajima? Kiongozi wa kitaifa unamfsnanisha na mwananchi wa kawaida? Hii mijitu mingine ni kama ina akili za kuazima.
  6. I

    NDOTO: Rais Magufuli kutawala awamu moja tu...

    Binafsi naona kabisa nchi hii imemshinda na akisema anajiuzulu watu wengi watafurahi sana . Hajatoa ajira mpya na ilihali sekta kibao zinamapungufu. Amebana sana pesa mtaani kiasi kwamba hakuna biashara inayoenda vizur. Vitu vimepanda bei karibia Mara mbili mfano sembe 25kg inauzwa 38000 kutoka...
  7. I

    NDOTO: Rais Magufuli kutawala awamu moja tu...

    Mazuri yapi Mzee? Hajatoa mkopo kwa mwanafunzi ata mmoja aliyewahi kupita private schools. Amebana pesa na hakuna biashara inayoenda vizuri mtaani. Tangia mwaka Jana mpaka sasa bei za vitu zimepanda karibia Mara mbili. Sembe 25kg inauzwa 39000 kutoka 19000 na amenyamaza kama haoni. Amezima...
  8. I

    Maajabu: Serikali haiwajui Vigogo wa Dawa za Kulevya hadi inataka Wema awatajie?

    afannye nn ana cheo gan? Mihemko inakuharibu.
  9. I

    Hoja nzito: Tuwe wawazi na tufunguke

    Kiujumla naweza kusema kiongizi wetu hajui vizur falsafa za uchumi na maendeleo. Ukusanyaji wa kodi sana afu kukosa njia ya kuzipeleka hela kwa wananchi kumeathiri sana mzunguko wa uchumi. Mm binafsi ninaathirika na vitu vifuatavyo. Kupanda kwa bei ya vyakula hasa unga wa mahindi na sukari hii...
  10. I

    Benki ya Dunia: Uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi na Mfumuko wa Bei umeshuka kwa kasi

    Its impossible to say the economy of Tanzania is strong why the majority of citizens are still suffering with extreme poverty also high rate of unemployment to the majority. If the economy is strong we need to have different industries as well as employment, good social services etc
  11. I

    Waziri Angela Kairuki arudie kujibu swali la mbunge wa Singida Mjini kuhusu maslahi ya watumishi

    Inabid wajiulize kwanza, thus why politics dominates in all sphere even a serious issues. Poor tanzania
  12. I

    Tamko la Vyama vya Siasa kufuatia hali ya kisiasa nchini. Vyaipinga operesheni UKUTA ya CHADEMA

    Hayo maji na maendeleo utayapata kwa mikakati ipi ndugu? Nchi haina dira wala mipango hii, ukiwauliza ni mambo gan ya kimaendeleo mnategemea kuwa mmeyakamilisha kufikia mwakan hawana uhakika hata moja. Kazi kukusanya ushuru tu, serikari ibategemea ushuru tu kuendesha shughuli za maendeleo? Aibu...
  13. I

    Jimbo la Ubungo tunajuta kumchagua Kubenea

    Huyu jamaa mnazi kweli, anajuta kwa lip? Anaacha kuijutia serikari aliyoichagua anamjutia kubeneha? Mwaka Jana miezi kama hii kilo 25 ya sembe ilikuwa 16000 Leo kipindi cha mavuno 24000, sukari 1800 Leo 3000, mafuta ya taa hakuna kila kona, Ni kubeneha kasababisha hayo? Sera za serikari yako...
  14. I

    Hivi kweli Rais wetu huguswi na wabunge wa upinzani kutoka bungeni?

    Unapaswa kuwa muelewa ndugu, kitendo cha wabunge wa ccm kuwa wengi bungen hakimaanishi kuwa kila wanachokifanya na kuamua ni sahihi, Kitendo cha naibu kujaribu kunyamazisha upinzani pindi unapoikosoa serikari au kuleta miongozo inayogusa maisha ya wananchi siyo sahihi na kinapaswa kupingwa na...
  15. I

    Ushauri kwa CHADEMA kuhusu bendera yao!

    Mbona viongoz wa ccm ndo madcteta lakin hamuwasemi? Tunaogopa kuongea kwa7bu siku hizi ata ukibainika unaiponda serikari unaenda kunyea debe, Najua mbowe ndo mtu pekee kwasasa anayewanyima raha zaid mafisiem.
Back
Top Bottom