jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,951
- 29,532
Baada ya utamaduni wa kuongozwa na fikra na muhemko wa 'kidikteta' wa mtu mmoja kuwa ndio utamaduni pendwa ndani ya Chadema basi nichukue fursa hii kuwashauri jambo hasa hasa mwenyekiti Mbowe.
Ufafanuzi kuhusu udikteta wa kimaamuzi ndani ya Chadema
Kwa wanaokumbuka bendera ya Chadema ilikuwa na rangi ya blue bahari kwa sehemu kubwa lakini uamuzi wa mtu mmoja uliibadilisha na kuwa na rangi hii iliyo nayo sasa.
Pia kwa wale mnaokumbuka aliyebadili msemo wa pipoooz power kuwa msemo wa hamasa 'makamanda' wa Chadema na badala yake kuanza kutumia msemo wa mabadilikoooo lowassa alikuwa ni mmoja tu tena ghaflaghafla tu ....
Hayo mabadiliko na mengine ambayo yameshatajwa sana humu jamvini yanatosha kabisa kuwapa sifa viongozi wa Chadema kuwa viongozi wenye hulka za 'kidikteta'
Nikirudi kwenye ushauri wangu...napendekeza Chadema kwa mara ya kwanza iachane na udikteta wa kimaamuzi na iwashirikishe wafuasi wake katika zoezi la kubadili nembo ya V iliyoko kwenye bendera ya sasa na badala yake iwekwe alama ya mikono miwili inayoonesha alama ya mabadiliko...hii itaendana sana na slogan aliyoileta mwenyekiti baada ya.........
nasisitiza zoezi hili lishirikishe wanachama ili kuondokana na dhana inayotaka kujengenga ya udikteta ....
NAWASILISHA
CC:CHADEMA ASILIA
CC:CHADEMA ULIPO TUPO
CC:CHDEMA KASKAZINI
CC:CHADEMA MGUU NDANI MGUU NJE
CC:CHADEMA SPECIAL DIPLOMA