ESCORT 1
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 1,368
- 2,890
Mbunge gani hatulii Bungeni yeye kila siku anaongoza migomo ya kutoka nje, Sisi kama wana Ubungo tunakukumbusha Mbunge wetu hiyo siyo kazi tuliyokutuma uende Dodoma ukaifanye.
Tumekutuma Bungeni uende ukatupambanie ili uweze kutatua kero zetu kama ya muda mrefu ya Maji safi na salama. Hivyo basi tunakuomba Mbunge wetu ubadilike acha siasa uchwara, pambania wananchi wako sio maslahi ya Mbowe.