Recent content by Iruru

  1. Iruru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu wa Arusha jamii ya Wameru wana utaratibu mzuri wa Kuwafunda Mabinti zao kuwa Wanawake bora kwenye Familia

    Huyu DC wake wa amani wameru walimla mahali pabaya. Kamwe hawezi kuwasahau. Alipeleka usukuma kwa wameru wakamnyoosha hahaa
  2. Iruru

    JamiiForums Tanzania KERO Supervisors wa Wanafunzi wa Masters - UDSM ni kero, wanatukwamisha wengi, Uongozi wa Chuo uchukue hatua

    Pole sana ndugu yangu kwa haya. Hata hivyo simulizi yako imejaa maneno mengi yasiyo na hoja. Kwa kiwango cha elimu uliyonayo, moja ya mambo muhimu kwenye mjadala ni kujenga hoja na hoja hujengwa kwa ushahidi. Tuhuma nyingi zimeelekezwa kwa wataaluma hawa wa udsm, lakini je umetoa ushahidi wowote...
  3. Iruru

    JamiiForums Tanzania Gallery ya shule mbalimbali za Sekondari Tanzania

    Hii siku hizi imekuwa boys na A-level pekee yake? Nilipiga hapo kidato Cha tano na sita ila wakati huo ilikuwa mchanganyiko wafulana na wasichana kuanzia kidato Cha kwanza mpaka Cha sita. Moja ya shule nzuri na kongwe kabisa. Ilianza rasmi 1906 ikiwa ni shule ya mission kabla ya kutaifishwa na...
  4. Iruru

    JamiiForums Tanzania KERO Hewa chafu eneo la Mchicha Vingunguti

    NEMC na taasisi zingine za uthibiti, eneo la Mchicha Vingunguti kuna hewa kali sana ambayo ukipita lazima ushindwe kupumua na kupata kikohozi kikali. Watu wanasema sulphur inayotoka viwandani. Je, mmeamua kutua kwa sulphur baada ya kimbunga Hidaya kutusamehe?
  5. Iruru

    JamiiForums Tanzania Kutokana na mabadiliko ya kiutawala Arusha, serikali ikae makini ili jamaa asisababishe wazungu wakatoa travel advisory kwa raia wao

    Sijui kwa nini raisi hakushauriwa kwenye hili. Makonda angeweza kupewa ukuu wa mkoa lakini sio Arusha. Yeye ana doa tayari la kuondoa haki ya watu kuishi na sio yeye Wala serikali waliowahi kukana hili. Hata Magu pamoja na kuwa kipenzi chake, hili alilichukulia kwa uzito na akamtoa Makonda...
  6. Iruru

    JamiiForums Tanzania Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

    Ila mwaka kumekuwepo na mambo mapya; kupiga na kukamatwa wasio waislamu wanaokula chakula nyumbani kwao.
  7. Iruru

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufuta caches kwenye laptop kwa maana imekuwa nzito sana

    Niko pale nasubiria na mie
  8. Iruru

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji: Dereva na V8 Iliyobeba wahamiaji Haramu 20 wa Ethiopia Isihusishwe na CCM

    Ni ngumu kutenganisha uhamiaji na sisiem na hivyo ni ngumu kutenganisha uhamiaji na wahamiaji haramu.
  9. Iruru

    JamiiForums Tanzania Dawa gani ilikusaidia kwenye ugonjwa wa vidonda vya tumbo?

    Naendelea kusoma comments. Naweza pata dawa labda leo
  10. Iruru

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Sanaa na Michezo aombe msamaha mashabiki wa Soka la Tanzania na Kutengua kauli yake kabla ya 29/03/2024

    Huyu waziri laiti asingetoa hii kauli. Ameleta taaruku na kuna kila dalili ya mchezo kujawa na fujo. Manara aliwahi sema in public kwamba Simba wananyunyuzia wapinzani wao sumu vyumbaji, serikali haijawahi sema lolote. Kote duniani, hakuna shabiki anayechaguliwa timu ya kushangilia bali huchagua...
  11. Iruru

    JamiiForums Tanzania Serikali yawaonya mashabiki wa Simba na Yanga kupokea Wageni

    Kwa hiyo tunaanza kupangiwa namna ya kushangilia mpira? Mpira ni burdani, kila mtu anajua namna ya kuburudika nao. Haya yalianza, tutaua fan base ya mpira iliyopo nchini hivi hivi.
  12. Iruru

    JamiiForums Tanzania Komwe (frontal bossing): Sababu ni zipi? Ni njia zipi za kuzuia ili mtoto asiwe na komwe?

    Hii ni identity ya people za north. Ni moja ya tabia ya mwanadamu ya kurithi. Huwezi kilikombia wala kuliongeza. Hata hivyo komwe sio ulemavu, ni sawa na tulivyo na watu warefu ama wafupi.
  13. Iruru

    JamiiForums Tanzania Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo

    Wako wataalamu wa muandiko. Watapitia maandishi yako na kuoanisha na yanayotajwa kuwa yako. Hapa huwezi dangaya hata kidogo. Bahati mbaya muandiko hata uigize namna gani ni ngumu kubadilisha everything.
  14. Iruru

    JamiiForums Tanzania Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo

    Kuna kuunganisha dots, kama kweli mmoja alipata supplementary kwenye mtihani tajwa na alipifanya akafaulu, huu nao ni ushahidi tosha dhidi ya kesi yao.
  15. Iruru

    JamiiForums Tanzania Kwa Wizara ya Elimu: Kuhusu cut point za kuingia chuoni kwa waliomaliza Form Six 1980s- 2014

    Kabla ya mwaka 2010, hakuna mtu mwenye D ama E ambaye angepata nafasi ya kwenda chuo kikuu.
Back
Top Bottom