Recent content by Iron age

  1. I

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nape Nnauye kufukuzwa uanachama wa CCM

    Na akishafukuzwa uanachama pia ataambiwa anadaiwa kodi mamilioni kadhaa hivi, so ni mwendo wa vikwazo vya kisiasa na kiuchumi.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Kitendo kilichofanywa na RC Makonda kimenajisi Tasnia ya Habari. Kamati yaundwa...

    Duh! hatari sana, mambo ya shilawadu yanavyopasua anga this time, yetu macho na masikio movie iendelee, over.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Yussuf Manji, Omba Toba

    Kwa hiyo anasali kwa Gwajima au wapi, nauliza tu?
  4. I

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Daud A. Bashite (Makonda) wajitokeza

    fa fa fa faaaa in Gwajima's voice
  5. I

    JamiiForums Tanzania Umeiona hii ya kwenye Gazeti la Ijumaa?

    Kumbuka kuna uhakiki wa vyeti na watumishi wengi ambao ni wachapakazi wamewajibika kwa kosa la vyeti feki, kwa hiyo wasionewe wanyonge tu, kila mtu awajibike kwa uovu wake na sio kumkingia kifua kwa kuwa ni kada na ameteuliwa na presidaa.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Wanaume mna nini na simu zenu?

    Simu zingine zinakuwa na Picha za wakubwa yani pilau so akutaka ufahamu hilo.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Alphonce Lusako: Nina haki na mimi kusoma chuo

    Mtu akiamua kukuwekea vikwazo atakutafuta sehemu yoyote ile utakayoenda, pia kumbukua TCU ndio wanaodahili wanafunzi na sio kwamba yeye amejichagulia chuo anachotaka ila amepelekwa pale kutokana na udahili na pia naamini akuomba chuo kimoja tu.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Nimekubamba Miss JF

    Hongera yake
  9. I

    JamiiForums Tanzania Nimekubamba Miss JF

    Mtoa post miss mwenyewe anachura lakini au ni flat screen.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Dr. Kigwangalla: Ufafanuzi wa kauli yangu ya "Kutoka Nje ya Box"

    Wabadili mfumo wa elimu basi tuelewe moja na sio kudharirishana kwa mtindo huu wa misemo ya kujiajiri.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Umetisha sana
  12. I

    JamiiForums Tanzania Kazi Usafi

    Naruhusiwa kukupigia au ni kutuma SMS tu?
Back
Top Bottom