MfalmewaKiha
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 1,191
- 1,247
Ngoja nika muungishe shigongo, ili watoto wasilale njaa, maana hapo sioni jipya.
Imeshaundwa tume ya kushughulikia wauza unga!muacheni amalize kuhakiki wauza heroine yy atakua wa mwisho kuhakikiwa vyeti
mkuu umemaliza kuhusu waandishi wa udaku na namna wanavyoandika.haya magazeti headline nakilichomo ndani nitafauti kabisa,utakuta story ambayo mwisho wasiku itakuchefua tu..!!
"utasikia mara mwandishi akiwa kolomije kakuta paulo wanamfahamu mara bashite alikuwa anakaa jirani walikuwa marafiki sana na paulo sasa kuna watu wakajua paulo ndio bashite yaani walipenda ikafika hatua wakawa mapacha sasa kuwatofautisha ikawa kazi kwa wasio wajua"...!!mara neno kutoka kwa raisi "ijumaa lilinyaka habari kutoka kwa ofisa mwandamizi wa serikali jina lake tunalihifadhi kuwa raisi ameapa kuwa hata kubali kijana wake kumtoa pale maana kafanya kazi kubwa sana ya kupambana na madawa ya kulevya"..!!!
Issue Ngada ngada....je kuwa na vyeti feki kwa makonda kunamuepusha vp wema, manji, na wengine kibao kutumia ngada?..acheni ku divert attention ya ngada kwenda kwenye vyeti
hapo ndipo napo wapendea watz .. mlishabikia wazee wakinyimwa stahiki zao kisa vyeti feki na wamefundisha vizazi na vizazi leo la makonda linaonekana dogo any wayje kuwa na vyeti feki kwa makonda kunamuepusha vp wema, manji, na wengine kibao kutumia ngada?..acheni ku divert attention ya ngada kwenda kwenye vyeti
shida sio vyeti shida ni kufoji vyeti?kutumia jina la mtu..sheria inasema miaka saba jelaSISI TUNATAKA VIONGOZI WACHAPA KAZI NA WENYE UJASIRI! MNAANGALIA VYETI TU, UWEZO JE???? UNAWEZA UKAWA NA CHETI KIZURI SANA LAKINI UWEZO NA UJASIRI HUNA!!!!!!!
Muosha huoshwaKILA NIKIONA FIGUSU FIGUSU LA MAKONDA (BASHITE) NAKUMBUKA TUU YULE DADA ALIYESOMA ARDHI KOZI NGUMU UKILINGANISHA NA YULE WA MUCCOBS ALIYESOMA MIAKA 6 KAMA DAKTARI HUKU AKISOMEA KUPOKEA WAGENI OFISNI ALIVYOMNYANYASA KWELI MUNGU HALALI KAMWE........
YULE ALIYETUNGULIWA KWENYE DARAJA LA KIGAMBONI FAMILIA NA HATIMAYE KIFO KWELI MACHOZI YA WATU HAYAKWENDA BURE
MIMI NIKUPE POLE TUU BASHITE HUNA PA KUPUMULIA MAANA HATA MASHINE ZA ICU ZIMEGOMA KUFANYA KAZI
Shigongo central
jerommh! hilo gazeti hivi lina bei gani, ili kama ni affordable na mie nijipigepige nilinunue
Mzee wetu JPM alisisitiza tusiite buku, jero tuite HELA, PESA, hahahahahahaahahahahahjero
Atajulia wapi huyo nayeye anaumwa njaa?Ina maana mkuu hujui kugushi nyaraka za serikali ni kosa kikatiba.
POLE MIMI HUWA SIMSIKILIZI KABISA SITAKI SIKIA HATA NENO LAKE MOJAMzee wetu JPM alisisitiza tusiite buku, jero tuite HELA, PESA, hahahahahahaahahahahah
😀😀😀 na mie niliamua kukutibua vimeng'enyo tumboni hahahahahaahaha, najua sana kuwa "hakubariki" tehe tehePOLE MIMI HUWA SIMSIKILIZI KABISA SITAKI SIKIA HATA NENO LAKE MOJA
Unasema 'sisi' wewe na nani. Kwahiyo uhakiki wa vyeti hauna maana?SISI TUNATAKA VIONGOZI WACHAPA KAZI NA WENYE UJASIRI! MNAANGALIA VYETI TU, UWEZO JE???? UNAWEZA UKAWA NA CHETI KIZURI SANA LAKINI UWEZO NA UJASIRI HUNA!!!!!!!
Kumbuka kuna uhakiki wa vyeti na watumishi wengi ambao ni wachapakazi wamewajibika kwa kosa la vyeti feki, kwa hiyo wasionewe wanyonge tu, kila mtu awajibike kwa uovu wake na sio kumkingia kifua kwa kuwa ni kada na ameteuliwa na presidaa.TUNATAKA VIONGOZI WENYE UWEZO WA KUCHAPA KAZI NA UJASIRI, SIO KIONGOZI MWENYE CHETI KIZURI SANA, LAKINI HANA UWEZO WALA UJASIRI!!!!! VITA HII YA MADAWA NI KUBWA SANA!! YATASEMWA MENGI!! MLIKUWA WAPI SIKU ZOTE??? BAADA YA KUGONGWA KICHWANI NDIYO MMEIBUKA!!!!! HAPA KAZI TU!!!!
je kuwa na vyeti feki kwa makonda kunamuepusha vp wema, manji, na wengine kibao kutumia ngada?..acheni ku divert attention ya ngada kwenda kwenye vyeti