Recent content by Iris

  1. I

    Tanzia: Nasikitika kuwatangazia kifo cha Baba yangu kipenzi

    pole sana,Mungu akutie nguvu.
  2. I

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Habari wadau,mtoto wangu kapata History B+ Geography B+ Language B+ na g/studies D,anaweza kupata Law UDSM?au course gani nzuri anaweza kupata kwa UDSM?Au chuo gani kingine kizuri kwa Law hapa TZ?
  3. I

    Hadithi tamu: Hisia zangu

    Duuh! Inanoga.
  4. I

    Tanzia: Nimefiwa na mwanangu

    Pole sana
  5. I

    Mke wangu anakuwa busy na sim ifika jioni. Ni nini?

    Unambore, afanyeje? Bora simu inampunguzia stress.
  6. I

    Niliuwa kwa kukusudia-1

    Imeniburudisha.Ahsante
  7. I

    Niliuwa kwa kukusudia-1

    Duuuh hii kali.
  8. I

    Re:Vyeti Feki kwa Askari Wapi pa kuanzia kuripoti

    Samehe saba mara sabini kwa siku.Msamehe tu kama bado anaendelea na tabia zake mbaya,dunia ndio itamfunza.
  9. I

    Heri ya pasaka....... Wanajamii forum!

    Ahsante Yesu kwa kufa msalabani kwa ajili yetu,ili sisi tukombolewe.
  10. I

    Tufikishe watu 100,000 wanaoupinga ushoga Tanzania.(ushoga ni uuaji)

    Ushoga ni kinyume na mapenzi ya Mungu,Taifa litakalobariki ushoga linapingana na Mungu, acheniiii.
  11. I

    Tufikishe watu 100,000 wanaoupinga ushoga Tanzania.(ushoga ni uuaji)

    Napinga ushoga, ni kinyume na mapenzi na mpango wa Mungu,Mungu alituambia tuzae tuongezeke tukaijaze dunia, mapenzi ya jinsia moja utazaaje?
  12. I

    Mazishi ya Nyaga Mawala kufanyika Nairobi

    Alifanyaje?mimi simjui ila napenda kujua sababu ya kifo chake,inaelekea alikuwa ni mtu mwema na maarufu sana, naomba anayejua alivyokufa anijuze,tunajifunza kwa kuona na kusikia.
  13. I

    Kwenu CRDB: kwa hili mnamtendea haki mteja wenu???

    Sababu nyingine zinazotufanya tutumie ATM machine za benki nyingine ni kwamba, crdb wana machine chache na mara nyingi hazina hela au mbovu, mfano shekilango road crdb wana mashine 1, wakati nbc wama nne barabara moja.Crdb boresheni na ongezeni huduma kwa wateja.
  14. I

    bila kuwaona hawa huwa siangalii bunge.wewe je?

    Tundu Lisu,Zito na Ole Sendeka.
Back
Top Bottom