Mke wangu anakuwa busy na sim ifika jioni. Ni nini?

mara mkatengue ndoa kisa mahari haijalipwa,mara anakuwa busy na simu...dont know wht 2 believe...si muachane tu....
 
Pengine ni JF wakubwa maana hata mimi kila wakati ni JF ila mwenzangu anajua na kukiwa.na story namwonyesha. Au kumpa breaking news za JF na anafurahia tu. Ila sifanyi makosa ni lazima nimpe muda wake na kujadili.mambo muhimu. Vinginevyo ndoa tunazivunja wenyewe pale wana ndoa wanapokosa muda wa pamoja.
 
kumbe umeolewa? Maaweee
 
Wanajamii habari za jioni. Mke wangu ikifika jioni mpaka usiku anakuwa busy sana na sim hata mda wa kuongea na mimi hana, wakati mwingine tukiwa sebureni hujifanyifa anaumwa na kwenda chumbani, ukienda gafla unakuta vidole vinacheza kwenye sim. Mimi kiukweli sio kwamba wivu umekuwa juu, lakini je ni sahihi kwenye ndoa? Na wala sio mfanyabiashara. Naombeni ushauri nisije nikawa mimi nakosea.
Ni addiction za mitandao tu, mi niko MMU sahz lakin mume wangu yuko chumban kalala kitaambo, kwahiyo ni kawaida tu, acha ajipe raha, usimbane binti wa watu!
 
Back
Top Bottom