TANGAZO: CHADEMA STUDENT ORGANIZATION (CHASO-Ifakara).
Tunayofuraha kubwa kuwakaribisha wote wenye mapenzi mema,bila kujali itikadi zetu katika mahafali ya kuwaaga ndugu zetu wa CHASO-Ifakara ,yatajayofanyika katika ukumbi wa beginis IJUMAA tr.3/7/2015 saa 7:00 mchana,
Mgeni wetu rasmi...
Hizo ni dalili ya chama cha mapinduzi kushindwa kuzuia hisia zao ya kukataliwa Na wananchi Na kuanza kutumia nguvu kuwalazimisha watu kufuata Yale wanayoyataka
Mleta mada amejikita zaidi kwenye udini kuliko utaifa na unasema kuwa tuwaache waislam na uislam wao kwani waislamu hawahitaji uongozi bora unaoheshimu imani zote ktk taifa hili? Unapo leta mada uwe unafikiri kabla ya kuileta.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.