Kalenga: Umakini muhimu leo

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
MaCCM yasiachwe hata kujumuika peke yao. Hayachelewi kuingia chumba cha kura na furushi la kadi za kupigia kura. Yamezoea wizi. Alindwe GRACE na kura zake.

Tutajieni kura za kila kituo tukokotoe wenyewe. Kila la heri
 
Haya saa 12 jioni baada ya kipigo mrudi tena muandike hayohayo, Bavicha mna akili za Kobe hata mbele hamuoni.
Leo watafute pakujificha watapata aibu ya mwaka yule mzee wao baada ya matokeo lazima akalazwe kwanza make presha itakuwa zaidi ya 200.
 
MaCCM yasiachwe hata kujumuika peke yao. Hayachelewi kuingia chumba cha kura na furushi la kadi za kupigia kura. Yamezoea wizi. Alindwe GRACE na kura zake.

Tutajieni kura za kila kituo tukokotoe wenyewe. Kila la heri
Kwa akili yako unadhani leo gongo itafanya kazi kalenga?
 
peopleeees.......biashara asubuhi jioni mahesabu....ap magamba ni kukomaaa nao....ukiwaacha sekunde moja tu wanaiba kura sasa ivi
 
Back
Top Bottom