CHADEMA wakwamisha ujenzi wa Chuo Kikuu Mbeya.

S

security guard

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Messages
708
Likes
259
Points
80
S

security guard

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2011
708 259 80
katika mkakati wake wa kukwamisha maendeleo ya wananchi na Taifa kwa Ujumla, inaripotiwa kuwa Madiwani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya wamekwamisha ujenzi wa Chuo Kikuu Cha Mzumbe katika eneo la IWAMBI jijini Mbeya. Imedaiwa kuwa licha ya chuo hicho kulipa sh. bilioni moja kati ya mbili zinazotakiwa na Halamashauri ili kukipa ardhi ya kujenga chuo hiko, bado madiwani wa Chadema wamekuwa mstari wa mbele kupinga kuanza kwa ujenzi wa chuo hicho wakidai mpaka kimalize fedha yote iliyosalia. Meya wa Jiji la Mbeya Athanas Kapunga alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na wakazi wa Jiji hilo katika mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la soko Matola jijini hapa. Alisema mkoa wa Iringa unaongoza kwa kuwa na vyuo vikuu vingi, lakini Mbeya ina matawi ya vyuo vikuu huku kukiwa na vyuo vikuu kamili viwili ambavyo ni cha sayansi na teknolojia Mbeya (MUST) na kile cha Teofilo kisanji (TEKU) kwa mujibu wa Kapunga Mzumbe Kujenga Chuo kikuu eneo la Iwambi watakuwa wanazidi kuliboresha jiji hilo. Pia watasaidia kutoa ajira kwa wakazi wa jiji hilo na vitongoji vyake. Aidha alisema Halmashauri ya jiji itanufaika na ukusanyaji wa kodi ya majengo yatakayojengwa huku mamlaka ya Maji safi na Usafi wa mazingira jiji la Mbeya, Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Mbeya nao wataweza kuongeza wateja hivyo kuinua zaidi uchumi wa jiji hilo. Meya huyo alisema CHADEMA kupitia madiwani wao, wanakwamisha kuanza kwa ujenzi huo, kwa madai kuwa jiji linataka kutoa eneo bure kwa Chuo hicho ama kuwauzi akwa bei nafuu.
 
Irhhey

Irhhey

Member
Joined
Dec 21, 2012
Messages
49
Likes
0
Points
13
Irhhey

Irhhey

Member
Joined Dec 21, 2012
49 0 13
Acha kuandika utumbo humu kati ya CHADEMA na CCM nani wakwamishaji wa maendeleo?:frusty:
 
amakyasya

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Messages
3,463
Likes
19
Points
0
amakyasya

amakyasya

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2013
3,463 19 0
katika mkakati wake wa kukwamisha maendeleo ya wananchi na Taifa kwa Ujumla, inaripotiwa kuwa Madiwani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya wamekwamisha ujenzi wa Chuo Kikuu Cha Mzumbe katika eneo la IWAMBI jijini Mbeya. Imedaiwa kuwa licha ya chuo hicho kulipa sh. bilioni moja kati ya mbili zinazotakiwa na Halamashauri ili kukipa ardhi ya kujenga chuo hiko, bado madiwani wa Chadema wamekuwa mstari wa mbele kupinga kuanza kwa ujenzi wa chuo hicho wakidai mpaka kimalize fedha yote iliyosalia. Meya wa Jiji la Mbeya Athanas Kapunga alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na wakazi wa Jiji hilo katika mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la soko Matola jijini hapa. Alisema mkoa wa Iringa unaongoza kwa kuwa na vyuo vikuu vingi, lakini Mbeya ina matawi ya vyuo vikuu huku kukiwa na vyuo vikuu kamili viwili ambavyo ni cha sayansi na teknolojia Mbeya (MUST) na kile cha Teofilo kisanji (TEKU) kwa mujibu wa Kapunga Mzumbe Kujenga Chuo kikuu eneo la Iwambi watakuwa wanazidi kuliboresha jiji hilo. Pia watasaidia kutoa ajira kwa wakazi wa jiji hilo na vitongoji vyake. Aidha alisema Halmashauri ya jiji itanufaika na ukusanyaji wa kodi ya majengo yatakayojengwa huku mamlaka ya Maji safi na Usafi wa mazingira jiji la Mbeya, Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Mbeya nao wataweza kuongeza wateja hivyo kuinua zaidi uchumi wa jiji hilo. Meya huyo alisema CHADEMA kupitia madiwani wao, wanakwamisha kuanza kwa ujenzi huo, kwa madai kuwa jiji linataka kutoa eneo bure kwa Chuo hicho ama kuwauzi akwa bei nafuu.
Wewe meya unashangaza.Hao Mzumbe chuo kikuu,wataanze kujenga hicho chuo wakati hawajalipa bilioni moja iliyobaki?Ninyi mmezoea ufisadi,unawatetea huku unakiri hawajamaliza malipo.Hayo ndiyo matatizo ya 10% mliyozoea.Keep it up Chadema.
 
kamanda wa kamanda

kamanda wa kamanda

Senior Member
Joined
Oct 12, 2013
Messages
191
Likes
34
Points
45
kamanda wa kamanda

kamanda wa kamanda

Senior Member
Joined Oct 12, 2013
191 34 45
katika mkakati wake wa kukwamisha maendeleo ya wananchi na Taifa kwa Ujumla, inaripotiwa kuwa Madiwani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya wamekwamisha ujenzi wa Chuo Kikuu Cha Mzumbe katika eneo la IWAMBI jijini Mbeya. Imedaiwa kuwa licha ya chuo hicho kulipa sh. bilioni moja kati ya mbili zinazotakiwa na Halamashauri ili kukipa ardhi ya kujenga chuo hiko, bado madiwani wa Chadema wamekuwa mstari wa mbele kupinga kuanza kwa ujenzi wa chuo hicho wakidai mpaka kimalize fedha yote iliyosalia. Meya wa Jiji la Mbeya Athanas Kapunga alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na wakazi wa Jiji hilo katika mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la soko Matola jijini hapa. Alisema mkoa wa Iringa unaongoza kwa kuwa na vyuo vikuu vingi, lakini Mbeya ina matawi ya vyuo vikuu huku kukiwa na vyuo vikuu kamili viwili ambavyo ni cha sayansi na teknolojia Mbeya (MUST) na kile cha Teofilo kisanji (TEKU) kwa mujibu wa Kapunga Mzumbe Kujenga Chuo kikuu eneo la Iwambi watakuwa wanazidi kuliboresha jiji hilo. Pia watasaidia kutoa ajira kwa wakazi wa jiji hilo na vitongoji vyake. Aidha alisema Halmashauri ya jiji itanufaika na ukusanyaji wa kodi ya majengo yatakayojengwa huku mamlaka ya Maji safi na Usafi wa mazingira jiji la Mbeya, Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Mbeya nao wataweza kuongeza wateja hivyo kuinua zaidi uchumi wa jiji hilo. Meya huyo alisema CHADEMA kupitia madiwani wao, wanakwamisha kuanza kwa ujenzi huo, kwa madai kuwa jiji linataka kutoa eneo bure kwa Chuo hicho ama kuwauzi akwa bei nafuu.
Ivi madiwani wa ccm na Chadema wapi ni wengi? Huu ni upuuzi na ni utoto kuwadanganya watu
 
L

Luganda

Member
Joined
Mar 17, 2013
Messages
21
Likes
0
Points
3
L

Luganda

Member
Joined Mar 17, 2013
21 0 3
walipe kwanza hiyo hela iliyobaki. tuache mikataba mbovu
 
Mponjoli

Mponjoli

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
667
Likes
16
Points
35
Mponjoli

Mponjoli

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2008
667 16 35
Huyu meya wa mbeya ambaye ana elimu ya standard four, ndiye mkwamishaji mkubwa wa maendeleo ya Jiji la Mbeya. Chuki yake kwa vijana ndiyo iliyosababisha hata vurugu kubwa Jijini Mbeya iliyosababisha shughuli za kiuchumi na kijamii kusimama kwa siku mbili.

Kzi yake ni kuishambulia CHADEMA kila siku na hata maeneo ambayo vijana wanafanya biashara zao, amekuwa akiwatshia kuwahamisha, kisa tu, waaunga mkono CHADEMA. Hiki kitu kilipelekea hata CCM kupoteza jimbo la Mbeya Mjini.

Suala la Chuo cha Mzumbe liko wazi, huwezi kuruhusiwa kuendeleza eneo ulilopewa offer bila kukamilisha masharti ya offer,ambayo ni pamoa na kulipia eneo husika. Hajui sharia za nchi, kama anajua anataka zivujwe kwa makusui, ambayo ni ufisadi.

Hao Mzumbe wanatakiwa kumalizia hiyo pesa ndipo waendelee kujenga chuo.Hata viwanja walijiuzia pale Iwambi hawajalipa tayari wameanza kuendeleza.
 
M

Mlebanoni mweusi

Member
Joined
Sep 18, 2013
Messages
40
Likes
0
Points
0
M

Mlebanoni mweusi

Member
Joined Sep 18, 2013
40 0 0
Chadema ni wapinga maendeleo.
Mlikuwa wap tangu miaka 52 ya uhuru kuleta maendeleo hadi leo jiji zima lina vyuo vikuu viwili?Au nako chadema walikwamisha? Acha kuishi na mlenda kwenye ubongo...ww bado mtoto mdogo fikirisha akili!!!
 
kamanda wa kamanda

kamanda wa kamanda

Senior Member
Joined
Oct 12, 2013
Messages
191
Likes
34
Points
45
kamanda wa kamanda

kamanda wa kamanda

Senior Member
Joined Oct 12, 2013
191 34 45
Kapunga ni mjinga sana yeye ana walazimisha madiwani wawasamee Mzumbe bilioni 1.3 ambazo ni pesa za halmashauli ya jiji la mbeya wakati huo huo almashauli ya jiji la mbeya iliasha kopa crdb bilion 1.5 kwa ajili ya kuwalipa fidia wananchi wa maeneo hayo sasa basi iyo ni akili au matope? Mtu unadaiwa arafu wewe unae mdai unamsamehe hii niakili kweli maana mzumbe ni moja ya vyuo vikuu vikongwe hapa tanzania na wanapewa ruzuku nyingi toka Serikarin sasa iweje wachukue bule adhi ya halmashauli? Huu ni wizi na sisi kama chadema hatuta kubali kama anataka kupiga dili yeye kapunga na wenzake kama walivyo fanya wizi wa milioni 90 yeye kapunga na madiwani wa ccm eti walienda china kujifunza madiwani wa china wanavyo fanya hii imebuma hawapati kitu.
 
TsafuRD

TsafuRD

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2013
Messages
1,624
Likes
1,312
Points
280
TsafuRD

TsafuRD

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2013
1,624 1,312 280
katika mkakati wake wa kukwamisha maendeleo ya wananchi na Taifa kwa Ujumla, inaripotiwa kuwa Madiwani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya wamekwamisha ujenzi wa Chuo Kikuu Cha Mzumbe katika eneo la IWAMBI jijini Mbeya. Imedaiwa kuwa licha ya chuo hicho kulipa sh. bilioni moja kati ya mbili zinazotakiwa na Halamashauri ili kukipa ardhi ya kujenga chuo hiko, bado madiwani wa Chadema wamekuwa mstari wa mbele kupinga kuanza kwa ujenzi wa chuo hicho wakidai mpaka kimalize fedha yote iliyosalia. Meya wa Jiji la Mbeya Athanas Kapunga alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na wakazi wa Jiji hilo katika mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la soko Matola jijini hapa. Alisema mkoa wa Iringa unaongoza kwa kuwa na vyuo vikuu vingi, lakini Mbeya ina matawi ya vyuo vikuu huku kukiwa na vyuo vikuu kamili viwili ambavyo ni cha sayansi na teknolojia Mbeya (MUST) na kile cha Teofilo kisanji (TEKU) kwa mujibu wa Kapunga Mzumbe Kujenga Chuo kikuu eneo la Iwambi watakuwa wanazidi kuliboresha jiji hilo. Pia watasaidia kutoa ajira kwa wakazi wa jiji hilo na vitongoji vyake. Aidha alisema Halmashauri ya jiji itanufaika na ukusanyaji wa kodi ya majengo yatakayojengwa huku mamlaka ya Maji safi na Usafi wa mazingira jiji la Mbeya, Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Mbeya nao wataweza kuongeza wateja hivyo kuinua zaidi uchumi wa jiji hilo. Meya huyo alisema CHADEMA kupitia madiwani wao, wanakwamisha kuanza kwa ujenzi huo, kwa madai kuwa jiji linataka kutoa eneo bure kwa Chuo hicho ama kuwauzi akwa bei nafuu.
Mbona mimi sioni tatizo hapo. Kama Mkataba ni Bil 2 na wametoa Bil 1, si wanatakiwa kumalizia iliyobaki. Tatizo lipo wapi hapo. Inakuwaje wa hela za kuanza ujenzi halafu la kumalizia kulipia eneo hawana.
 
Vikao vya Harusi

Vikao vya Harusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2012
Messages
496
Likes
5
Points
35
Vikao vya Harusi

Vikao vya Harusi

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2012
496 5 35
Huyu meya wa mbeya ambaye ana elimu ya standard four, ndiye mkwamishaji mkubwa wa maendeleo ya Jiji la Mbeya. Chuki yake kwa vijana ndiyo iliyosababisha hata vurugu kubwa Jijini Mbeya iliyosababisha shughuli za kiuchumi na kijamii kusimama kwa siku mbili.

Kzi yake ni kuishambulia CHADEMA kila siku na hata maeneo ambayo vijana wanafanya biashara zao, amekuwa akiwatshia kuwahamisha, kisa tu, waaunga mkono CHADEMA. Hiki kitu kilipelekea hata CCM kupoteza jimbo la Mbeya Mjini.

Suala la Chuo cha Mzumbe liko wazi, huwezi kuruhusiwa kuendeleza eneo ulilopewa offer bila kukamilisha masharti ya offer,ambayo ni pamoa na kulipia eneo husika. Hajui sharia za nchi, kama anajua anataka zivujwe kwa makusui, ambayo ni ufisadi.

Hao Mzumbe wanatakiwa kumalizia hiyo pesa ndipo waendelee kujenga chuo.Hata viwanja walijiuzia pale Iwambi hawajalipa tayari wameanza kuendeleza.
Huijui mbeya,humjui kapunga,unasema ana ugomvi na vijana kwa lipi?ulitaka waendelee kuuza kwenye ile barabara ya makunguru,ilihali soko linajengwa?na pia unajua kuwa hao unaowaita vijana ndio kawapa ajira kwenye timu ya mbeya city fc,

UNAPOKUWA UNAONGEA KITU,KAA UTAFAKARI,SIO UNAKURUPUKA KA UMEKULA BAMIA MBICHI
 
kamanda wa kamanda

kamanda wa kamanda

Senior Member
Joined
Oct 12, 2013
Messages
191
Likes
34
Points
45
kamanda wa kamanda

kamanda wa kamanda

Senior Member
Joined Oct 12, 2013
191 34 45
Kapunga ndio mpiga dil namba moja wa Ccm mbeya ni mwizi alie kubuu kwa akika atabanwa hadi nafasi ya mwisho
 
kamanda wa kamanda

kamanda wa kamanda

Senior Member
Joined
Oct 12, 2013
Messages
191
Likes
34
Points
45
kamanda wa kamanda

kamanda wa kamanda

Senior Member
Joined Oct 12, 2013
191 34 45
Huijui mbeya,humjui kapunga,unasema ana ugomvi na vijana kwa lipi?ulitaka waendelee kuuza kwenye ile barabara ya makunguru,ilihali soko linajengwa?na pia unajua kuwa hao unaowaita vijana ndio kawapa ajira kwenye timu ya mbeya city fc,

UNAPOKUWA UNAONGEA KITU,KAA UTAFAKARI,SIO UNAKURUPUKA KA UMEKULA BAMIA MBICHI
Kwani mbeya City ni tim ya kapunga? Unaongea au unaumwa kichocho
 
kamanda wa kamanda

kamanda wa kamanda

Senior Member
Joined
Oct 12, 2013
Messages
191
Likes
34
Points
45
kamanda wa kamanda

kamanda wa kamanda

Senior Member
Joined Oct 12, 2013
191 34 45
Kwa taarifa yako hii ndio mbeya city
 
Forum statistics

Threads 1,275,076
Members 490,894
Posts 30,532,146