Toka nizaliwe sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa tofauti na CHADEMA.
Nilijiunga chadema mwaka 2000 na nimefanya makubwa ktk chama kwenye eneo langu: Kwa mchango wangu na wengine, CHADEMA imekuwa ikishinda toka ngazi ya kitongoji hadi rais: Tulinyakua vitongoji vitatu kati ya vinne, m/kiti wa serikali ya kijiji,diwani na mbunge hata mgombea urais wa CHADEMA dr. Slaa alimshnda Kikwete ktk ngazi ya kijiji changu, kata yangu, tarafa na wilaya niliko. Japo mchango huu kwa wahafidhina ni upuzi mtupu!
Ninaipenda CHADEMA kuliko Mbowe,Slaa,Lema, lissu na wengineo kwani mimi katk kazi na mchango wangu kwa CHADEMA sijawahi kulipwa wala kukopeshwa na saccos ya cdm. Ni bure! Ila Mbowe, Slaa n.k wanalipwa mishahara, wanajilipa posho, wanajikopesha bila riba pesa ya chama, na pia wanachukua hongo kwa mafisadi n.k!!
Siku katiba ikiridhia mgombea binafsi nitarudisha kadi ya CHADEMA. Inauma kuona CHADEMA imesimama kwa jasho la wanyonge, halafu wakubwa wamekigeuza kuwa mradi wao na vimada wao!
Ni hatari sana!
0766353543[/QUOT
Mbona hizi tuhuma ni za kufikirika? Tuambie umekuza chadema eneo gani,tutajie walijikopesha shilingi ngapi na je kukopa ni makosa?. La sivyo ni umbea tu mnafanya na wanawake wenzio. Na hizi namba ulizoweka ni ili utongozwe coz ukahaba ndo kazi yako. Hata hivyo,hulazimishwi kuwa Chadema