Serikali inabidi iingilie kati aisee.Kuna dada pale Korogwe alivalia sketi ndefu hadi chini ila zile zenye mpira kiunoni.Bahati mbaya kwenye ngijangija mtu akaikanyaga,kapiga yowe wapi.Mpaka vuruga inaisha ile sketi iko chini dada wa watu kabakinna nguo ya ndani tuu.Ile fedheha tukamwacha...
Mwendokasi ni kisanga.Kuna mama pale Kimara Korogwe alivunjwa mguu.Alisukumwa mguu mmoja ukaingia pale kwenye kiuwazi kati ya mlango na pa kupandia.Hadi leo anatembelea magongo
Aisee nimelipia Vodacom unlimited ya 120k kwa mwezi, wanakupa router ya 5G ambayo unaweza kuibeba kwenda nayo popote.Na inaconnect hadi 20+ people.Nashauri kwa anayeafford achukue hii hatojutia
Nna skyworth mwaka wa 4 huu, iko poa sana. Hisense nayo ni brand nzuri, natumia washing machine yake, na kuna mdau ana TV ya hisense anaisifia sana.
Achana na Allitop
MD ni MD ile ile, cha muhimu comittment yako.Nimefanya internship na MDs kutoka hivyo vyuo vyote na hamna significant diffirence mbali na ile ya attitude na uelewa wa mtu binafsi.
Japo Mazingira ya KCMC ni the best kwa kujifunza ukilinganisha na hao wengine
Mgonjwa anapata athari mbaya ya dawa ambazo hazijatanabaishwa kwenye leaflet ya dawa hiyo, Ni hatua gani ungechukua kuchunguza na kusimamia hali hii ipasavyo?
PCB ni noma.Mi nilisoma PCB nikiwa dayscholar, nilikuwa naenda shule sa 10 usiku natoka sa 6 usiku kila siku, ule mwaka wa mwisho wa form 6. Hadi watu wakaanza kuniita Dusk-Dawn[emoji28]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.