Hivi kwa sasa kuna mtayarishaji wa midundo mkali kama S2kizzy Tanzania?

Dogo mzuri sema anatatizo la kusample kupita kiasi. Kwa hawa maproducer wa kipindi hiki Abbah ni wa kumuangalia vizuri pia
2023, bado naendelea kusimama na hili. Hana originality, ni kama nilivyomsikia leo Ally B akisema 'ana chop huku na huku kupata kitu kizuri', japo yeye alizungumza hivyo kwa lengo la kumsifia
 
Ukisikia "Zombie sikutaji humu" au "we zombie" ujue mambo yashanoga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom