Ipi bora kati ya MD ya UDOM, KCMC na St. Francis ?

Ipi bora kati ya MD ya UDOM, KCMC na St. Francis ?

Ipi bora kati ya MD ya UDOM, KCMC na St.francis ? Bora kusoma wapi kati ya hivyo
Hivi Udom wameanza kupandikiza FIGO?

Kuna vitengo watu wanatoka nje wanaenda pale huduma za kispecialist.Upande wa utabibu siku hizi hakuna Hospital wanaizidi Udom kuanzia Nyanda za juu kusini mpaka nyanda za kati
 
MD ni MD ile ile, cha muhimu comittment yako.Nimefanya internship na MDs kutoka hivyo vyuo vyote na hamna significant diffirence mbali na ile ya attitude na uelewa wa mtu binafsi.
Japo Mazingira ya KCMC ni the best kwa kujifunza ukilinganisha na hao wengine
 
Nenda udom. Hapa Tanzania degree za Public university zina heshima kuliko private

Mfano ukipata first class ya udom unaajiriwa popote bila shida.. ila ukipata first class ya private college kama kcmc ama st francis.. huwez kuajiriwa vyuo vya uma ufundishe.. watu watakuwa wanahis first class yako ni ya rushwa
Acha kupotosha
 
Acha kudanganya watu mkuu

Akasome Popote Pale anapotaka kikubwa uwezo wake tu wa kifedha
 
Back
Top Bottom