Ile kesi ya mwabukusi waendelee kurusha rusha na hizi comedy zao. Mwizi hata akitoa msaada mkubwa kwa yatima Bado yeye atabakia kuwa ni mwizi..huruma haipo🤔
Pambana kadri ya uwezo wako, maana hata wao ni wezi ...Kila mwaka CAG anathibitisha uizi wao ila hawachukuliani hatua. Fanya kwa sehemu Yako na wewe kama tabia zinaendana na za kwao
Aidha;
1. Ni mpango wa wasio mpenda, ili wamchafue na atenguliwe na aliyemteua
2. Kama ni kweli basi Dhambi haijawahi kudumu muda mrefu gizani pasipo kujulikana, ni mara chache sana mtu anaweza kuifanya dhambi na baadae ikajulikana akiwa amekwisha fariki ila wengi dhambi walizozifanya sirini ama...
Mafuta yalipandishwa kwa mihemko sana kiasi Cha shilingi 1500 kwa Lita moja, ndio pale wakaamua nauli zipande. Kwenye kushusha Hadi sasa hivi tangu wameanza kushusha jumla yake haifiki shilingi 300, yaani wameshusha kiasi Cha chini ya shilingi 300, wakati wao waliongeza 1500....kuna kiwango...
Nilimsikia akisema mashtaka ni mapya, mara tumeacha neno X tumechukua neno Y, hivyo tumeendelea na neno Y, mara hapa hatujachukua maneno yote tumechukua neno X, ooh haya mashtaka ni mapya🙁. Kwani kosa la uhaini ni jipya?, hukumu za uhaini si zinajulikana?, tena anapendekeza adhabu yake inaweza...
1. Miundo mbinu yetu sio rafiki
2. Vyombo vyenyewe havistahimili heka heka, mfano pikipiki ya umeme ukiwa umebeba mzigo mzito alafu unapandisha mlima hukosa nguvu itakulazimu muda mwingine ushuke usukume mlimani, magari sijayapima uwezo wake.
Lakini ukitumia chombo Cha mafuta chenyewe...
Utaanza taratibu;
1. Ukiingia dukani mwambie shopkeeper akuonyeshe leseni ya biashara kabla hujafanya manunuzi yeyote
2. Fanya hivyo kote unakohitaji huduma yao, tutasaidia taifa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.