Nafikiri huwa tunakosea 1 point,kinachotakiwa kuleta mabadiliko sio MTU,bali ni MFUMO,nashida kubwa kwetu ni mifumo na utekelezaji wa hiyo mifumo,tunaweza kumchagua mtu tunaemuona yuko vizuri sana nakumuweka sehemu husika,ila kama mifumo mibovu ndiyo itayomuongoza still tutabakia palepale au...