Jitahidi kumwomba mungu akupe upeo mkubwa zaidi katika kufikiri, akupe uelewa na kuifungua akili yako upate kutambua lipi jema na lipi baya, akuongoze kupita na kuyashinda zaidi majaribu unayokutana nayo katika umri huu ulionao, zaidi akupe nuru iwezayo kumurika njia ambayo utapita katika safari...