hizo ni hisia za kawaida kwa mpenzi wako wa kwanza na tena ambae hamjaingia anga za juu, mkianza michezo tu , huo mhemko wako sio mapenzi , utaisha na unaweza hata kumuacha ukila na kushiba! wazo la kumuoa ni la msingi, fanya haraka umuoe usiharibu watoto wa wenzio! nakwambia kama hujui inavyouma kuharibu binti, zaa binti akue halafu njemba impe mimba na kuingia mitini! au dada yako mdogo form two apewe mimba na mtu asie na mwelekeo!
Subiri utendwe utapona