Recent content by Ipi dot com

  1. Ipi dot com

    JamiiForums Tanzania Vita ya Kagera: Nimemaliza kutoa Mahari, Simu inaita naambiwa haraka niende Vitani

    Kweli kaharibu mapema sana mambo ya simu ku vibrate tena?!!!
  2. Ipi dot com

    JamiiForums Tanzania Wanywa pombe kali huwa mnajiuliza swali hili mkiwa mnakunywa?

    Wewe unakunywa juice gani Mpendwa?
  3. Ipi dot com

    JamiiForums Tanzania Mambo sita muhimu unayopaswa kuyajua

    Kweli kabisa Hasa hiyo namba tano
  4. Ipi dot com

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ni ngumu sana, asikudanganye mtu

    SI kweli
  5. Ipi dot com

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona beki mjinga kama Thiery Manzi,unaumizaje mwana Africa Mashariki kikatili

    Mi mwana jangwani Kwa kweli aliferi
  6. Ipi dot com

    JamiiForums Tanzania Leo tuwatambue Wanyakyusa kwa majina yao

    Ipyana
  7. Ipi dot com

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwalimu aliyesambaza picha za Wanafunzi wamekaa chini, aingia matatani

    Hii picha ni ya wiki hii nina mtoto wa kidato cha kwanza kanilalamikia kukalishwa chini
  8. Ipi dot com

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwalimu aliyesambaza picha za Wanafunzi wamekaa chini, aingia matatani

    Kamati wamekuwa wa kwanza kulifanya siasa jambo hili, Kisa tu eti WAMEKUTA PICHA ZA KOMBATI YA CHAMA CHA CDM Very shame!!
  9. Ipi dot com

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dulla Mbabe kaimarika zaidi

    Na hela atapata
  10. Ipi dot com

    JamiiForums Tanzania Nyuki kuingia ndani.

    Hapo mkuu kiroho kuna mambo mawili yapo mbele yako SHEREHE au MSIBA funga muombe mungu sana ,kama ni wa kawaida mshukuru Mungu. Yalinikuta mimi!! Sent from my SM-J730G using JamiiForums mobile app
  11. Ipi dot com

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe wahenga

    Nikweli mkuu Sent from my SM-J730G using JamiiForums mobile app
  12. Ipi dot com

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe wahenga

    Ongeza ruksa Sent from my SM-J730G using JamiiForums mobile app
  13. Ipi dot com

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe wahenga

    Ok Sent from my SM-J730G using JamiiForums mobile app
  14. Ipi dot com

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe wahenga

    Inaendelea... Mama mwenyeji alishtuka sana akauliza kulikoni ikabidi john amweleze kuwa hatujala tunaelekea siku ya tatu,ikabidi uji utayarishwe haraka na baadae chakula kamili sasa ubinaadamu ukarudi. Bado ndoto zetu zipo pale pale na mwenyeji wetu alikuwa akitupa moyo sana tulikaa wiki pale...
Back
Top Bottom