Tujikumbushe wahenga

Inaendelea...
Toka saa 8 usiku mpk asubuhi tulisimama maana tumelowa balaa, ilipofika asubuhi tukaona njia pekee ya kukauka ni kutembea mwendo mwingine kutoka nje ya mji ili muda tukianza kurudi mpaka tunafika mjini tutakuwa tumekauka.
Kweli tulifanikiwa kwa kiasi japo mabegi yalikuwa bado,mida ya saa nne asubuhi tukawa mjini tena tumetulia mahali japo uhamiaji kila dkk wanapita kilicho tusaidia tulikaa na jamaa mmoja anauza dawa za asili kwa hiyo wakipita uhamiaji alikuwa akiongea kiswana kwa sauti kwa hiyo wengi walijua na sisi ni waswana hiyo ilituokoa kwa sehemu.
Masaa yanaenda inafika usiku hatuna jibu na njaa imepamba moto, nakumbuka ilikuwa usiku saa mbili nikasogea karibu na msikiti pembeni namwona mzungu mrefu kashiba nikaona nikajieleze atupe chochote (hapa nikukumbuka huwa nacheka peke yangu)
Nikamsogelea nikamwambia "GOOD MORNING SIR" kumbuka ni saa mbili usiku yule jamaa alinikazia macho kama dkk 5 hivi bila kupepesa macho,mie huyooo mdogomdogo...
Nikamfuata john tukalekea pale pale tulipolala jana ila leo palikuwa pamekauka story nyiingi mpaka asubuhi ila sasa nguvu zimeanza kutuishia maana tunaingia siku ya pili bila kula chochote
Kama kawaida tukarudi kijiweni kwetu tulipokuwa jana mida inaenda njaa imepamba moto hatujui tufanyeje miili haina nguvu,
Wazo linatujia tunamkumbuka yule jamaa mzambia alietuachia bussness card tena alisema anakaa mji ule tukaanza kutafuta ile card tukajaikuta ila imeharibika kwa kulowa na namba zake zinaonekana kwa shida kdg tukamshukuru Mungu.
Wakati huo simu zilikuwa za box yaani unatumbukiza coin ndio unapiga simu(vijana wa sasa hamtaelewa) tukamuomba yule mtu aliekuwa anauza dawa za asili atusaidie hela kdg ili tupate mawasiliano.
Jamaa katoa hela tukaamua kupiga ile namba daa kapokea mdada anaongea lugha ya huko na sisi hatuelewi na hela inakata.
Wakati tunaangaliana usoni katokea jamaa mmoja ni mmoja wa madereva wa tax(daradara za kule) kuna kitu aligundua katuuliza kulikoni ndugu tukamweleza jamaa kachukua ile namba kaweka coin yake kapiga simu wakaongea kirefu na upande wa pili.akatwambia yule ni secretary wa huyo mzambia ss mmoja wenu nitampa maelekezo dreva atakushusha pale pale.
Kura ikamwangukia john aende mimi nikabaki kijiweni ila nguvu sina kwa njaa nilokuwa nayo ni sa 8 mchana.
Saa 10 jioni namuona john amakuja kunichukua tabasamu linarudi maana namuona mwenzangu ana uso wa nuru.
Hatukua na muda wa kukaa tukapanda gari haoo kwa mwenyeji wetu yeye hakuwepo tulimkuta mke na watoto japo alipata habari zetu.
Mwenzangu alisha kula mwanzo mimi wakaniandalia matunda wakati nasubiri chakula matunda ya mananasi,hapo nahisi roho inataka kuchomoka kwa njaa,ile naweka kipande cha kwanza tuu mdomoni nilitoa sauti ya kelele nilihisi kama wembe unakata koo niliumia sana.
Hapa wataalam wa lishe watatusaidia....
Itaendelea

Sent from my SM-J730G using JamiiForums mobile app
Interesting
 
Ukiweka nitag mkuu
 
Noma sana naendaga Pretoria mara chache saana kwasababu maalumu ila naishi Johannesburg CBD
 
Inaendelea...
Mama mwenyeji alishtuka sana akauliza kulikoni ikabidi john amweleze kuwa hatujala tunaelekea siku ya tatu,ikabidi uji utayarishwe haraka na baadae chakula kamili sasa ubinaadamu ukarudi.
Bado ndoto zetu zipo pale pale na mwenyeji wetu alikuwa akitupa moyo sana tulikaa wiki pale hatuna vibari vya kuishi SA.
Siku moja huyu mwenyeji wetu alitembelewa na rafiki yake kipenzi toka pretoria baada ya maongezi ikawa safari sisi na yeye hadi pretoria maisha mengine yakaendelea..
Wakati huo hatuna uhalali tena wa kuishi huko ikatubidi twende wizara ya mambo ya ndani kuomba kibali cha kutambulika kama wakimbizi wa kisiasa toka TZ ilikuwa rahisi kuliko tulivyodhani na sababu kubwa wahudumu walikuwa wazungu,wazungu katika hali ya kawaida walikuwa wakipenda wageni weusi kuliko wazawa.
Hapo wa TZ tunaofamiana tulianza kuongezeka nakumbuka mmoja wa wenyeji wetu alikuwa maxmilian bushoke baba mzazi wa bushoke msanii, tulikuwa na rafiki yetu Maige Almasi yupo morogoro, Festo kaghoma yupo SA mpaka sasa na wengine wengi.
Hali ya maisha ilikuwa nzuri katika hali ya utafutaji siku moja tukajikuta tunaingia mikononi mwa polisi baadae gerezani newlock hapo nilikuwa mimi na mtu mwingine nakumbuka kesi ilikuwa mbaya na pona pona yetu ilikuwa hela itoke turudishwe TZ hela ikatoka tukaamliwa turudishwe makwetu,baada ya hukumu tukapelekwa airport (jonsmith airport) tukapanda twiga mnyonge(air tanzania) mpk dar es salaam kesho asubuhi tukawa mbele ya pirato mashtaka yakasomwa
NDG FULANI BIN FULANI
Tarehe isiyofahamika
Ukaondoka kupitia mpk usiofahamika
Ukaenda nchi isiyofahamika
Ukakaa muda usofahamika
Mpaka ulipokamatwa tarehe .....katika uwanja wa jk international airport baada hapo tukaripa faini ..
Looh maisha haya bwana
THE END

daaaah
 
Oooo safi Sana, namimi nitaongezea kidogo

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Story hii unaweza kuandika kitabu cha kusaidia Vijana. Unaweza kuifanya kuwa very comprehensive
 
Back
Top Bottom