Recent content by ipc

  1. ipc

    UPDATES: Mkutano wa waandishi na Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA)

    Vipi tena, wamesepa kwenda Dom kuisaidia polisi
  2. ipc

    Kenyans are arrogant criminals and they are not welcome in our country: opinion polls reveal

    I have been working with Kenyans and Ugandans, I have noticed Tanzanian are very friendly to Ugandans In fact not all Kenyans are bad, there are some especially ** tribe are tainting the entire Kenya
  3. ipc

    Rais Magufuli kuiangusha CCM na kuwa chama cha upinzani 2020

    Chadema ndio inaoza kabisa
  4. ipc

    Reli ya Kati: Benki ya Exim (China) wakubali kutoa mkopo wa Sh. Trilioni 16 kwa Serikali ya Tanzania

    TAZARA pia siyo standard gauge ingawa ni pana kuzid central
  5. ipc

    Urafiki huu wa Lowassa na Membe umeanza lini??

    Jaman hofu inatoka wapi, JPM ndio rais na ndiye atakayekuwa Mwenyekiti
  6. ipc

    Mawaziri wa awamu hii full mikoani

    Wamshauri JPM kuhusu maswala ya biashara. Pia kauli ya rais kusema trafic kuchukua 5000 zetu siyo rushwa ni pesa ya kubrush viatu sijalipenda kabisa Yeye ni rais ni muhimu awe makini na kauli zake
  7. ipc

    Kuna mambo mawili Rais kapotoshwa

    Rais wetu hakika kuna mambo anayoyafanya hanamtazamo mpana. Hana washauri? Mambo mengine hayahitaji msuli ni simple logic. Tafadhali umakini unahitajika.
  8. ipc

    Dodoma: Wajumbe wawasili, wajipanga kuisimamia katiba ya CCM

    BA-VICHAA baada ya kunusa kipigo kitakatifu kilichoaandaliwa kwa nyumbu mmeona bora mtumie propaganda za kitoto Poleni nyumbu
  9. ipc

    Nimeamua kuachana na CHADEMA na kurudi CCM kumuunga mkono Magufuli

    Karibu mwana mpotevu, kuzungusha mikono kumekuchosha
  10. ipc

    Rais Magufuli afanya uteuzi Mbalimbali, Mrema ateuliwa kuwa mwenyekiti Parole

    Mlitaka awateue UKAWA? Poleni mtasubiri sana
  11. ipc

    Rais Magufuli afanya uteuzi Mbalimbali, Mrema ateuliwa kuwa mwenyekiti Parole

    Nafasi moja ya Mrema, unatoa povu?
  12. ipc

    Wapenzi na mashabiki wa Magufuli wameanza kuisoma namba

    Kaza Kamba kisawasawa JPM, lazima tuheshimiane
Back
Top Bottom