Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,902
- 13,466
Huyu MTU kipindi cha kampeni alikuwa mpenzi sana wa Magufuli!
Dunia Imebadilika Sana Sana Ikilinganishwa Na Miaka Kumi Ishirini Iliyopita. Kuanzia Mfumo Wa Maisha Hadi Mfumo Mazingira. Kwa Hali Ya Sasa, Huwezi Kulazimisha Watu Waishi Maisha Kama Ya Miaka Ya Sabini Na Themanini Ya Kulima Mashamba Ya Ujamaa Na Kujitegemea Na Maduka Ya Ujamaa. Sana Sana Unaweza Kuwalazimisha Watu Waende Kwenye Mfumo Mwingine Mpya Na Sio Kuwarudisha Kwenye Uliopita.
Huwezi Kuzuia Watu Wasiwasiliane Kwa Njia Yoyote Ya Mawasiliano Wakati Dunia Yote Inawasiliana. Utakuwa Unajitenga Na Dunia Hii Unaanzisha Nyingine Ya Kwako. Watu Wameongezeka Mno Kazi Zimepungua, Unapotaka Kila Mtu Awe Na Kazi Ya Uhakika, Ni Kulazimisha Kubadili Mfumo, Ni Sawa Na Kulazimisha Maji Kupanda Mlima, Badala Ya Maji Kufuata Mkondo.
Mfumo Wa Maisha Hufuata Mkondo, Sawa Na Maji, Kinyume Chake Ni Kuwatesa Watu. Haya Ni Maoni Yangu Tuu.