Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,894
- 20,372
Sasa hiki ulichoandika kina uhusiano gani na uzi huuIna maana hata cheo cha DAS umetoswa? Au vyeti vyako magumashi?
Sasa hiki ulichoandika kina uhusiano gani na uzi huuIna maana hata cheo cha DAS umetoswa? Au vyeti vyako magumashi?
Lakini mwisho wake Jiji la Dar likaangukia kwenye mikono salama ya UKAWA.Hakatwi mtu hapa. Ilikuwa usemi maarufu wakati ule. Sasa limekuja la kufuata katiba wakati huo umeishakuwa ni utamaduni wa CCM kukabidhiana kijiti.
Hakatwi mtu mwishowe iliyeyuka na akakatwa na mengine sasa ni historia. Kwa mwenendo huo, kijiti kitakadhibiwa bila ajizi.
TeheteheteheHahahaha Salamu zimemfikia lazima azifikishe hata mimi ngoja nimpigie simu nili mmisi
Kumbe ni Jiji. Nilijua MagogoniLakini mwisho wake Jiji la Dar likaangukia kwenye mikono salama ya UKAWA.
Halafu Mayor wa jijj ana mtambua Magufuli kama Rais na alimpongeza akiongozwa na Msigwa.Kumbe ni Jiji. Nilijua Magogoni
Kuna watu wanaiombea mabaya CCM aisee. Bahati mbaya mabaya yanawakuta wao. Mzee Tupatupa jitokeze kwa rangi yako halisi. Wewe ni mmoja wa wwle wanaoendesha mkakati ili JPM asiwe Mwenyekiti. Mmedhibitiwa
Bure tu mnahangaika.. jpm anakabidhiwa rungu ccm na mtaisoma namba. Bora majipu kujikamua yenyewe kabla champion hajashika usukani.Wajumbe wa mkutano mkuu maalum wa CCM wameanza kuwasili hapa Dodoma. Wako tayari kwa mkutano wa Jumamosi ijayo wenye ajenda ya uchaguzi wa Mwenyekiti wa chama Taifa.
Wajumbe hao sasa wanajipanga kuisimamia katiba ya CCM na kuhakikisha inafuatwa katika kipindi chote cha mkutano huo. Wajumbe hao wamesisitiza bila kuliza kuwa Mwenyekiti anapaswa kuchaguliwa badala ya kukabidhiwa.
Wameshapangwa wachokoza mada kikaoni. Wameshajipanga kuanzia wale wa Kamati Kuu,Halmashauri Kuu na Mkutano Mkuu. Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu vitaanza. Maandalizi yameshakamilika. Kaeni mkao wa kula!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Wajumbe wa mkutano mkuu maalum wa CCM wameanza kuwasili hapa Dodoma. Wako tayari kwa mkutano wa Jumamosi ijayo wenye ajenda ya uchaguzi wa Mwenyekiti wa chama Taifa.
Wajumbe hao sasa wanajipanga kuisimamia katiba ya CCM na kuhakikisha inafuatwa katika kipindi chote cha mkutano huo. Wajumbe hao wamesisitiza bila kuliza kuwa Mwenyekiti anapaswa kuchaguliwa badala ya kukabidhiwa.
Wameshapangwa wachokoza mada kikaoni. Wameshajipanga kuanzia wale wa Kamati Kuu,Halmashauri Kuu na Mkutano Mkuu. Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu vitaanza. Maandalizi yameshakamilika. Kaeni mkao wa kula!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Wacha wafu waendelee kuzikana
Lakini mwisho wake Jiji la Dar likaangukia kwenye mikono salama ya UKAWA.
Imala? Ndio lugha gani hiyo? Jifunze kwanza kuandika ndio urudi JF.Sio leo mmeanza kuota
2015 mlisema ccm itagawanyika
Matokeo yake ikawa Imala zaidi
Mwenyekiti ajae ni Rais wetu John pombe Joseph Magufuli
Kwahio ongezeni kupata umaarufu kupitia vikao vya Ccm
Maana CDM hakuna chakuandika
Waacheni wafu wakazikane jamani
Kwamba Jiji lipo mikononi mwa UKAWA halina ubishi. La msingi UKAWA ifanye kweli ili tofauti ionekane. Dalili ni nzuri so far. Time will eventually tell.Lakini mwisho wake Jiji la Dar likaangukia kwenye mikono salama ya UKAWA.
Mzee wapi huyu anadanganya watu tu hapa JF, ni kijana flani hivi mwenye kujaa chuki kwa ccm...Umemshtukia eeeeh. Halafu eti anajiita mzee