Wanabodi njia ya mwisho kabisa ambayo mafisadi alioko ndani ya ccm wanajaribu kuitumi kuweka kalata yao ya mwisho kujaribu kuzuia mwenyekiti mpya asitangazwe kama inavyotakiwa kufanyika !!!!
Inasemekana asilimia fulani ya wajumbe majipu wanaotakiwa kitumbuliwa wanatumia ushawishi wa lowassa kama mwanamkati atayesaidia kuakikisha Raisi magufuli hapati nafasi hiyo katika mkutano huo wa July 23!!
Mjumbe mmoja aliyefanyiwa maojiano alisema hivi ""hatuwezi kukubali kubuluzwa kama walivyotufanya katika mkutano wa kumpata mgombea uraisi no no no,,,,enough is enough"" alisema mjumbe huyo bila kutaka kutajwa jina!!!
Pia upande wa pili ni kwa lowassa mwenyewe Kutaka kumzuia magufuli asiwe mwenyekiti ili aje apate mgombea thaifu wa kupambana Naye hapo 2020 pale ambapo magufuli atakatwa ndani ya chama!!
Atajipenyeza na kupanga safu yake ndani ya chama cha ccm!!
Nguvu hiyo inakuja baada ya kuona mtu hatari aliyemkata JK anakaribia kuondoka ndani ya chama hivyo wanatumia mwanya huo kujenga mtandao nje na ndani ya chama chake!!!!
Lowassa ameenda mbali zaidi na kutaka kutengeneza mtandao ambao utakuwa ukipinga majukumu ya selikari ndani ya chama wazi wazi na chini kwa chini kuhakikisha selikari inakosa mvuto kwa wananchi!!!!!
Maswali ya kujiuza
Urafiki wa membe na lowassa umeanza lini wa kutaka magufuli ashindwe kutimiza majukumu yake ???
Lowassa kama alishindwa kufanya kampeni 2015 je 2020 ataweza??
Membe pesa za Gaddafi si ukae uzile tu maana hakuna faida utapata kupitia mkakati huu!!
Hii nguvu inayotumika kwanini nikubwa halafu ya chini kwa chini.??
Niwashauri tu wote walio nyuma ya mikakati hii miovu hakuna atakayeshinda mbele ya Joseph Pombe Magufuli !!!
Endeleeni na kazi zingine hii imeshajulikana!!!
TukutanDodoma
Asatee!!