Hakuna anaeshinikiza gesi ibaki mtwara, watu wanashinikiza wana mtwara wafaidike na hyo gesi bla kujali imeuzwa ndani au nje ya nchi, songea wana haki ya kufaidika na mapato ya uraniam kwani hata madhara ya mionzi ya sumu wataibeba wao pekee
wamezoea kukandamiza demokrasia,sasa kama wafanyakazi wa serikali hawatakiwi kujihusisha na siasa..je kauli ya kinana kuwataka wafanyakazi wa serikali wawajibike kwa CCM ina maana gani?
Nikiwa mmoja wa wafuasi wa uhuru wa fikra,naheshimu mtazamo wako kaka Molemo wala hamna haja ya kukashfiana,mwenye mtazamo tofauti allete jamvini tujadili.
Aliyepata kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania,Edward Lowassa amesema rushwa nchini ni kansa inayoitafuna nchi,amesema hayo mchana huu akihojiwa na idhaa ya kiswahili ya DW, Pamoja na hayo amesisitiza kuwa hana kundi ndani ya CCM.
Mahojiano;
Haya ni dondoo za mahojiana ya Lowassa na mtangazaji wa DW...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.