Recent content by Interlacustrine R

  1. Interlacustrine R

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa mwinjiristi wa kuwashauri wanaume wenzagu wapunguze au waache kabisa kwenda makanisani Nashukuru mwitikio ni mkubwa sana

    Jinsi uonavyo nuru na giza, ukarimu na uchoyo, urefu na ufupi, unene na wembamba, uzito na wepesi, kasi na pole pole, chungu na tamu, wingi na uchache, ndani na nnje, nzuri na mbaya, mwanzo na mwisho vikikinzana ndivyo ulimwengu ulivyo kwa pande zote mbili. Kila mtu ashinde mechi zake kwa...
  2. Interlacustrine R

    JamiiForums Tanzania Bichwa Komwe, Black and Beautiful; The Epitome of Beauty

    Wanaume wagonjwa wa black beautiful women wenye mishepu ya English figures tutambuane tafadhali........ Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
  3. Interlacustrine R

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa mwinjiristi wa kuwashauri wanaume wenzagu wapunguze au waache kabisa kwenda makanisani Nashukuru mwitikio ni mkubwa sana

    Hamtutoi ng'o kwenye reli ninyi mawakala wa shetani, mbona ninyi mnatoa kafara roho za watu ila hatuhangaiki nanyi? Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
  4. Interlacustrine R

    JamiiForums Tanzania Usichanganye ulipo leo na unapoelekea kesho.

    Maisha ni kama barabara, kuna milima mabonde, kona na madaraja. Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
  5. Interlacustrine R

    JamiiForums Tanzania Tupe mwanao tumfundishe leo

    Wazazi wa siku hizi ni vi-wonder, enzi zetu watoto walikuwa wanaongozwa njia wakiwa mbele za wazazi, Gen Z hawana tofauti na mithili ya bata yani wanatangulia mbele kisha watoto wakiwafuata nyuma, hatimaye watoto hugongwa na magari, hutekwa na kuibiwa...what kind of the shameful parents...
  6. Interlacustrine R

    JamiiForums Tanzania WANAUME LINDENI MALI ZENU.HAPA DUNIANI MALI NDO UTAMBULISHO WA MWANAUME.

    Kuna ulazima gani Mke wako ajue hati miliki ya mali zako zote, huoni kihere here chako ndiyo kinachokuponza? Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
  7. Interlacustrine R

    JamiiForums Tanzania "Mkiwa na ugomvi wa mali muachie ukaanze upya"

    Naelewa sana mkuu, kusaka mali ni kipengele sana ndiyomaana wapo watu wanaweza kusaka kwa miaka 15, 20 hadi 30 ndiyo wakafanikiwa na wengine hadi uzeeni au wasifanikiwe kabisa. Uhai ndiyo chenye thamani sana kuliko yote hayo, Mungu akikujalia afya ni heri kuanza upya kuliko kujitafutia kifo cha...
  8. Interlacustrine R

    JamiiForums Tanzania Siri za Kistaarabu za Kujenga na Kulinda Heshima ya Ndoa: Nguvu ya Kusamehe na Kusahau

    Usaliti hausameheki kamwe, hata shetani mwenyewe hakusamehewa alipotaka kupindua meza za ukuu kuliko aliye muumbaji wa viumbe vyote hai (Mungu). Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
  9. Interlacustrine R

    JamiiForums Tanzania "Mkiwa na ugomvi wa mali muachie ukaanze upya"

    Binafsi uhai ndiyo kipaumbele no 1 maishani, si nilikuwa sina hizo mali awali lakini Mungu mtoa riziki alinipatia, kwanini asinipatie tena hizo mali nikitembea katika kanuni zake za kuwa mwaminifu nikimtolea zaka na sadaka na kujituma katika biashara au kazi zangu? Kwanini niwe na imani haba...
  10. Interlacustrine R

    JamiiForums Tanzania Kwanini kabla ya tendo unampenda sana, ukishamaliza unataka kurudi kwako?

    Napita tu. Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
  11. Interlacustrine R

    JamiiForums Tanzania Katika kujenga Discipline (Nidhamu) hakuna vita kali kama Will Power Vs Self controll, Ni rahisi sana kusema I will do xx ila ni mtihani kufanya kweli

    Mbona Messi ndiye alishastaafu siku nyingi sana soka katika timu ya taifa tena kwa hasira hizo hizo ila sababu ya roho ya wivu wa kimaendeleo ilibidi arudi tena kwenye soka? Una habari Messi alishawahi kumpiga ngumi mchezaji mwenzake katikati ya mechi akiwa uwanjani? Hujawahi kujiuliza kwanini...
  12. Interlacustrine R

    JamiiForums Tanzania Katika kujenga Discipline (Nidhamu) hakuna vita kali kama Will Power Vs Self controll, Ni rahisi sana kusema I will do xx ila ni mtihani kufanya kweli

    Mwendelezo wa nidhamu haukosi misukosuko, ili uweze kutetea kombe bila kushusha mafanikio uliyowahi kupata zaidi ndiyo nidhamu yenyewe au maumivu. Mfano CR7 vs Messi kwa kuwa na nidhamu katika soka kwa zaidi ya miaka 20 iliyopita. Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
  13. Interlacustrine R

    JamiiForums Tanzania Katika kujenga Discipline (Nidhamu) hakuna vita kali kama Will Power Vs Self controll, Ni rahisi sana kusema I will do xx ila ni mtihani kufanya kweli

    Nidhamu = Maumivu sababu asili ya mwili wowote wa binadamu huhitaji kurelax, ila ubongo huulazimisha mwili kufanya kile ambacho haukipendi kwa kuwa una nia ya kutaka kufikia ndoto zako. Maana hakuna urahisi katika mafanikio yoyote. Hivyo basi utalazimika kujinyima vitu vingi sana kuepukana na...
  14. Interlacustrine R

    JamiiForums Tanzania Niuwe nakuambia, niuweeeeeh....

    Kamdomo hata maandiko matakatifu yamesisitiza "chunga sana ulimi". Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
  15. Interlacustrine R

    JamiiForums Tanzania Muda wa kuwa huru duniani, ni mchache sana kuliko muda wa miangaiko

    Gen Z ni janga la kidunia, kila kitu wanataka kurahisishiwa tu yani, huko mbeleni kuna majitu hata kujamiiana yatakuwa yanaona ni kazi ilihali wahenga wa 1920 - 1990 ni starehe. Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Back
Top Bottom