Halafu wewe mzee kiukweli unamkosea sana Nyerere nimekumbuka. Ilala, Magomeni, Kinondoni, Temeke- zote hizi. City Proper ya wakati wa Nyerere, alianzisha NHousing, zile nyumba zilijengwa kwa mipango miji owners walikuwa wale wenye viwanja vyao na wenye nyumba walikua 99% waislam hata huo mtaa wa...