Recent content by Interest

  1. Interest

    Massanza: Simba ni tawi la Yanga

    Leo zinaweza kujirudia zile 5 au zaidi
  2. Interest

    Massanza: Simba ni tawi la Yanga

    Ukweli unazidi kudhihirika
  3. Interest

    Milioni 118 zaiunganisha Singida Fountaingate na Precision Air Tanzania

    Habari njema sana hii kwa maendeleo ya soka letu
  4. Interest

    Kwanini Mawakala wa Meli (Shipping Line) hawafanyi kazi masaa 24 kama zamani?

    Ndugu WanaJF, Bandari Kuu inafanya kazi masaa 24, bandari kavu zinafanya kazi masaa 24, kwanini mawakala wa meli (shipping line) wasifanye kazi masaa 24? Nini tatizo? Leo tarehe 06/05/2023 saa 7 mchana nataka huduma wameshafunga ofisi. Je, kuna sababu ya kuacha bandari masaa 24 kama mtoa...
  5. Interest

    Mbunge Abood atunukiwa Shahada ya Udaktari (PhD)

    Hapa upo kujifariji, lugha yako tu inaonesha huna kipato cha kueleweka ndio maana unaumia na kukasirikia watu usiowajua. Mungu akufanyie wepesi kwenye kila jambo lako mkuu. Sent from my SM-E135F using JamiiForums mobile app
  6. Interest

    Mbunge Abood atunukiwa Shahada ya Udaktari (PhD)

    Tafuta kazi ya kufanya uache makasiriko Sent from my SM-E135F using JamiiForums mobile app
  7. Interest

    Mbunge Abood atunukiwa Shahada ya Udaktari (PhD)

    Duh! We jamaa unaonekana una stress sana aisee [emoji1][emoji1][emoji1] Sent from my SM-E135F using JamiiForums mobile app
  8. Interest

    Mbunge Abood atunukiwa Shahada ya Udaktari (PhD)

    Vua kinyago. Acha uoga. Sent from my SM-E135F using JamiiForums mobile app
  9. Interest

    Mbunge Abood atunukiwa Shahada ya Udaktari (PhD)

    Ulichokiandika kila mtu anaweza kuandika. Uthibitisho uko wapi? Na zile zinazotolewa na chuo chetu UDSM bei yake ikoje mkuu? Je, zile zinazotolewa na Oxford, Harvard, Cambridge nazo una bei zake? Sent from my SM-E135F using JamiiForums mobile app
  10. Interest

    Mbunge Abood atunukiwa Shahada ya Udaktari (PhD)

    Wenzetu watu wenye kufanya matendo kama haya wanawaita Philanthropist. Yaani mtu anayeisadia jamii kwenye mambo muhimu likiwemo hili la misaada kwa wasiojiweza ambalo wewe unalibeza. Sent from my SM-E135F using JamiiForums mobile app
  11. Interest

    Mbunge Abood atunukiwa Shahada ya Udaktari (PhD)

    Hili ni mojawapo. Yapo mengi. Jamaa anasomesha, anasaidia matibabu, anashiriki kwenye miradi mingi hata kwa kutumia pesa zake mfano ujenzi wa soko kuu la wajasiriamali. Ni vile sio mtu wa kujionesha sana ndio maana hamuyajui haya. Sent from my SM-E135F using JamiiForums mobile app
  12. Interest

    Mbunge Abood atunukiwa Shahada ya Udaktari (PhD)

    Sio kafanya, anaendelea kufanya kila siku kupitia misaada anayoitoa kwa wananchi wa Morogoro pamoja na kuwapambania wapate maendeleo kwa nafasi yake kama kiongozi. Sent from my SM-E135F using JamiiForums mobile app
  13. Interest

    Mbunge Abood atunukiwa Shahada ya Udaktari (PhD)

    Mhe Abdulaziz M. Abood, Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udakitari kwa kutambua mchango wake katika uongozi na kuisaidia jamii. Kuanzia sasa atafahamika kwa jina la Dkt. Abdulaziz M. Abood. Mchango wa Dkt. Abood kwa wananchi wa Morogoro hauna mashaka hata...
  14. Interest

    Ujasiri huu wa Bodi ya Nafaka na Mazao upongezwe

    Nimeona taarifa ya bodi ya nafaka na mazao mchanganyiko (CPB) kufanya maamuzi magumu ya kuwachukulia hatua bila uoga baadhi ya viongozi wa ngazi za juu kwa maslahi mapana ya taifa. Bodi imemsimamisha mkurugenzi na viongozi wengine wa menejimenti ambao wamekuwa wakituhumiwa kwa ubadhirifu...
  15. Interest

    UFAFANUZI: Kwanini Habib Kyombo amevaa jezi ya DTB FC badala ya Singida Big Stars?

    Imeeleweka mtaalamu. Lini mnatangaza chuma kingine?
Back
Top Bottom