Recent content by integral sign

  1. integral sign

    Natafuta Mwenza (Mwanaume)

    Ndo maana kafika age hiyo akiwa hana matokeo chanya
  2. integral sign

    Natafuta Mwenza (Mwanaume)

    Kwa age hiyo dada, we kubali tuu show upate mtoto kwanza, then uangalie mengine km ni mume wa mtu au la. Kazi si unayo?? Kutunza unaweza, we tafuta mtoto kwanza
  3. integral sign

    Mpenzi wangu anapenda sana pesa

    dogo kubwa, Dem mwenyewe mkalii??
  4. integral sign

    Ajali Mkuranga: Watu 24 wamefariki dunia na wengine 10 kujeruhiwa baada ya hiace kugongana na lori

    Hivi kweli ni ipi, habari inasema watu 24, barua inasema watu 26[emoji848][emoji848]
  5. integral sign

    Huyu mhusika wa vyeti vya kuzaliwa Wilaya ya Njombe yupo sahihi?

    Sasa hapa nataman nipate namba ya mkuu wake wa wilaya kwa sababu nipo mbali halafu huyo ndiye boss wake ktk ofisi hiyo!
  6. integral sign

    Huyu mhusika wa vyeti vya kuzaliwa Wilaya ya Njombe yupo sahihi?

    Leo nimemuomba mama yangu aende akaombe/ ku process Birth Certificate ya mdogo wangu kwa ajili ya kujiunga chuo. Kaenda asbh na kadi ya kliniki, akaambiwa alete cheti cha form 4, akanitahidi akaenda kijijini akarudi nacho ofisini. Kumpa akasema anataka Leaving Certificate, nikamwambia amuombe...
  7. integral sign

    iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Jamani msaada, nina Iphone 6s imepoteza personal hotspot. Siioni kwenye settings ila nilikua naitumia. Kwa anayejua namna ya kuirudisha
  8. integral sign

    Natafuta Iphone 6s plus au 6+. - MBEYA CITY

    Nipo mbeya natafuta cm tajwa Iwe na 64 gb, free i cloud Aliyenayo hapa mbeya ani PM tuanze bizness, tukifikia mwafaka tunamaliza ki cash cash.
  9. integral sign

    Live Updates: MO Bejaia FC vs Yanga SC at Unite Maghrebine Stadium!

    hawa jamaa kiboko, wamezuia hadi link inayoonyesha online??? duuuh
  10. integral sign

    waliopata mkopo kupitia UDSM

    Naomba kuuliza kama kuna MTU aliyepata mkopo halafu ukaenda UDSM aliupata baada ya muda gani? Maanake na mm umepitia huko wakati nimehamishiwa chuo kingine.
  11. integral sign

    HESLB: Lot ya sita inatoka lini?

    Lot ya 6 IPO nje, nadhani kwa wale waliomeet kigezo cha graduation ya 2012 watakua wamepata sasa
  12. integral sign

    Hivi feedback ya waloambiwa wapeleke birth certificate vipi?

    Kama kuna mhanga wa kudaiwa birth certificate humu tupeane updates. Naona siku zinasogea wakuu na huenda kuna mtu kapata FEEDBACK kupitia simu au email etc.
Back
Top Bottom