Recent content by Instruktor

  1. Instruktor

    Tambua uelekeo wa dishi katika satellite za chaneli (picha za madishi)

    Yeah ni analog, zile digital zenye screen kabisa znaanzia 180k
  2. Instruktor

    Msaada wa vitabu vya TIE online

    Havipo online hivyo vitabu. Nenda kwenye maduka yao ndo wanaviuza.
  3. Instruktor

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Hii naweza kuipata wapi mkuu?
  4. Instruktor

    Faida na hasara ya vitanda vya chuma

    Kuna mtu unamdai anakuzingua nn bosi
  5. Instruktor

    Kwanini Walimu mishahara yao hawapokelei Benki ya Mwalimu?

    Na pamoja na ATM zote walizonazo bado ukitoka mshahara foleni ya kutosha.
  6. Instruktor

    Bayport acheni utapeli

    Mimi jamaa yangu ashakutana na kesi kama hiyo. Ukienda ofisin kwao wanakwambia tuliza boli kesi kama zako zipo nyingi sana. Weka barua yako hapo zamu yako ikifika tutaona shida iko wapi. Hapo inaweza pita hata mwaka huku wanaendelea kukata.
  7. Instruktor

    Bayport acheni utapeli

    Nini kilikutokea mkuu had ukaamua kwenda kwa hao jamaa
  8. Instruktor

    Kwanini Walimu mishahara yao hawapokelei Benki ya Mwalimu?

    Sababu zipo nyingi tu: i) Hiyo benki ni mpya hivyo walimu walishakuwa na akaunti katika benki nyingine. Sasa ni ngumu kumshawishi mtu ahamie huko bila sababu hasa kama hamna wanachokosa huko walipo. ii) Bado hiyo benki haina matawi mengi na ATMs za kutosha hasa huko mikoani. iii) Hiyo benki...
  9. Instruktor

    Kwa namna yoyote ile Tanzania ianzishe kiwanda cha chanjo

    Sio kwamba itapingwa tu bila sababu mkuu. Itapingwa kwa sababu haitakuwa scientific based. Sisi tumeshazoea mambo rahisi unachanganya zako mbilimbi na kitunguu saumu unasema ni dawa ya covid 19. Jiulize kwani ile chai ya Madagascar iliishia wapi. WHO waliipinga kwa sababu ulikuwa ni mzaha...
  10. Instruktor

    Mdogo wangu ametapeliwa, nahisi kuchanganyikiwa, nahisi kufilisika

    Tena hasa ikionekana kuwa miamala wanayotoa yote ni ya kitapeli. Ikibidi wanaweza kufungia hata Tin number na namba ya nida isitumike kusajili line yoyote ya wakala. Sasa utashangaa namba inajaribu kukutapeli leo unatoa taarifa kwenye mtandao. Kesho unakuta namba ile ile inajaribu kumtapeli...
  11. Instruktor

    Mdogo wangu ametapeliwa, nahisi kuchanganyikiwa, nahisi kufilisika

    Hawawakamati mkuu. Watakuambia tu hiyo pesa imeshatolewa. Siku nyingine kuwa makini.
  12. Instruktor

    Mdogo wangu ametapeliwa, nahisi kuchanganyikiwa, nahisi kufilisika

    Ila binafsi bado naona ni uzembe wa mtandao. Kwa sababu kama mtu kapiga simu huduma kwa wateja kwamba ametuma pesa kwa matapeli, mtandao unashindwaje kufuatilia hiyo hela imetolewa kwa wakala gani. Siamini kwamba wanatoa kwa kila wakala. Itakuwa wana namba zao za uwakala au wana mawakala wao...
Back
Top Bottom